@doctornoel: Misconception kubwa kuhusu Diabetes! ❌ Watu wengi wanaamini kwamba mgonjwa wa kisukari haruhusiwi kula nyama nyekundu au chakula chenye chumvi — lakini ukweli wa kitabibu ni tofauti kabisa. 🥩 Nyama nyekundu inaweza kuliwa na mgonjwa wa kisukari ikiwa: • Si ya mafuta mengi • Imeandaliwa kwa njia bora (sio deep fried) • Inaliwa kwa kiasi sahihi 🧂 Chumvi pia sio adui wa kisukari moja kwa moja — tatizo linakuja pale kunapokuwa na presha ya damu au matatizo ya figo, sio diabetes pekee. 📌 Tatizo kubwa sio nyama au chumvi, bali ni: ❗ Sukari nyingi ❗ Vyakula vilivyosindikwa kupita kiasi ❗ Kula bila mpangilio

Dr. Noel, MD
Dr. Noel, MD
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 January 2026 13:37:19 GMT
61658
3767
184
180

Music

Download

Comments

iamsele255
_sele255 :
kwenye comment madaktari mnabishana sisi tufanyeje
2026-01-20 18:52:12
26
iamsammy333
SAMANTHA :
: Nimesoma comments nyingi nimegundua level yangu ya science ni ndogo sanaa 🥺
2026-01-21 14:14:18
14
thembiki_collection
The Mbiki Collection :
hi unayoshikaga mkononi ni nini
2026-01-21 06:27:42
9
ball_dancer10
Henry Mwambe :
THE MATTER IS TO CONTROL CORTISOL-H
2026-01-20 13:54:26
8
00etyl
_ :
Dr nikama nakuelewa sana:nyama ni protein na sukari ni carbohydrate so which is. Inakuwaje mtu anakuwa dr but still anakuwa hawezi ku reason vizur
2026-01-21 05:41:34
3
kharabi_md
Dr. Kharabi :
kama mgonjwa ni ana sukari tu, The only prohibited Food types ni zenye kupandisha sukari, nazo hazikatazwi completely, ndio maana kuna diabetic Plate, Katika DM plate, proteins are so important ( mf: Nyama, Maharage, Mayai, Samaki nk). kuacha chumvi si maelekezo mazuri kabisa, Maana Unamuweka mgonjwa kwwnye hatari Nyingine, mfano akiwa Moshi Uwezekano wa kupata Goitre unaongezeka. nimeelewa hivi, labda wanashauriwa kupunguza Chumvi kwa sababu ukiwa na sukari unakuwa na Risk ya Kupata Hypertension, lakini haina mashiko sana.
2026-02-05 06:05:01
6
user1554799503618
user1554799503618 :
je mtu mwenye pressure
2026-01-21 18:09:45
3
kelvinlameck241
lamela :
daktar umesahau pathophysiology na effects za salt na red meat kwenye mwili mpk unatetea vitu hatar kias hicho(HTN,HF,INSULIN RESISTANCE,DIABETIC NEP)
2026-02-14 20:46:56
1
fredpaul39
Fred Paul :
Na mm naungana na ww kbx chief 100% coz hakun interaction yeyot sukar,nyama na issue za sukari
2026-01-21 07:49:52
3
user754013713242
African Barangay :
Ila nani Dr amekwambia chakula kizuri lazima kiwe na sukari 😁😁😁. Usisahu kula ni learned behaviour 😊😊😊. Kapitie Eat habits and Nutritional problems, Mood and food regulation. Judgment ya afya kweli inahitaji ujuzi jumuishi.
2026-01-21 15:02:47
2
tupo255
Simba Aluminium/glass work :
badilish location doctor🤗
2026-01-22 03:50:07
1
mohamedikwalo
middle jr :
well said
2026-01-20 15:01:19
2
esterlukinga8
ester🌼 :
TUNASHIDA NA VYETI VYAKO NA LESENI YA TANGANYIKA
2026-02-08 11:17:17
1
angelmugisoni
angel mugisoni@ :
eti dokita hiyo kopo inakuwaga nanini watu wanauliza
2026-02-13 06:09:53
0
tee_t.z
tee_tz💯💣💫💦 :
sawa doct badilisha wallaper
2026-01-20 16:49:58
2
tiata_2
tiata Joseph :
Wagonjwa tunazidi kuchanganyikiwa sasa
2026-02-22 09:16:39
1
dr.treyseleman
DOKTA KARIBU YAKO :
Facts
2026-01-20 13:43:23
2
bonfaceotianga
Bonface Otiang'a :
tatizo una google husomi
2026-02-17 19:09:41
1
me.favourite
Me favourite 🥰❤️💕 :
facts bro
2026-01-20 18:23:57
1
malamsherjr_10
Josee :
well said...
2026-01-20 15:15:12
1
mohamedhashimu4
mohamed hashimu :
Red meat may not be the best choice for diabetic patients for several reasons: 1. **High Saturated Fat**: Red meat often contains high levels of satu
2026-01-20 19:06:21
1
delphinappolos0
COUPLE APPOLOS :
Docta, sasa muntu mwenye estomac asile nyama nyekundu, sombe kwanini?
2026-03-08 16:02:04
0
.cyp.com
MOA :
DR NOEL, MD samahani kidogo unaweza ongelea kidogo anabolism na catabolism ya protein??
2026-03-20 16:18:07
0
martinentungulu
martine :
soma kwanza usigoogle uone sukari na presha ziko vipi
2026-04-01 11:50:37
0
kalebdesdery
Mr-delivery🦺🏍️🏍️ :
bro hiko kinywaji gan???
2026-01-21 07:48:45
0
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About