@drgreysonbabishomba: Maji ni muhimu kwa afya: husaidia kusafisha mwili, kulainisha ngozi, kulinda figo na kuweka mwili na akili kwenye utendaji mzuri. Lakini kunywa maji mengi kupita kiasi kwa wakati mmoja kunaweza kushusha chumvi mwilini, kuchosha figo na kusababisha kizunguzungu au hata kuharibu afya. Kunywa maji kwa kiasi na kwa utaratibu siku nzima _____________________ Water is essential for good health: it helps detoxify the body, keeps the skin hydrated, supports kidney function, and maintains optimal physical and mental performance. However, drinking too much water at once can lower sodium levels in the body, strain the kidneys, and cause dizziness or other health complications. Drink water in moderation and throughout the day 💧

Profesa Greyson Babishomba
Profesa Greyson Babishomba
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 January 2026 14:40:20 GMT
91369
1658
27
242

Music

Download

Comments

bonifasimahenge38
Bonifasi Mahenge :
mkimuwai uyu atapona nauza figo ndugu zangu nashida napesa
2026-01-21 10:12:03
1
misssuudia1
Zanuba Rickshizzo :
Kuna mmoja wa Rafiki yangu Hakunyi maji Sana Kabisa na Ako sawa kabisa hii nao Nini??
2026-08-10 15:47:32
0
hilda.odhiambo
Hilda Odhiambo :
Asante kwa advice
2026-02-22 12:29:22
0
halimachipula355
Halima Chipula :
hayo Sasa mapya tena
2026-03-23 16:41:36
0
frpbypas2026
MICHAEL G7tech Mobilefrp :
umelewa
2026-04-10 17:33:22
0
mlulazson
Mlulaz Son :
indeed
2026-01-20 15:52:50
1
mapendobernardine
Mapendo Bernardine :
asante 🙏
2026-02-04 17:39:37
0
ghost.baby.music
HONEY BADGER MUSIC 🎶 :
we mwongo
2026-02-17 09:17:03
0
bawili17
bawili :
asante sana
2026-01-22 10:08:46
0
damasoka3
Da masoka :
kweli sana
2026-01-22 16:55:57
0
maryammo797
Ummy :
asante
2026-01-20 17:53:12
0
tozzaaman
tozzaale :
vyema
2026-01-20 15:57:10
2
user5917700113563
user5917700113563 :
Haya ndio mambo yakuongea ss
2026-03-19 07:38:23
0
angness.agness.ny
Angness Agness nyantori :
mm na mallinza kila siku lita 5
2026-01-24 20:50:31
0
villaparkclassicjersy
villaparkclassicjersy :
MKIMUWAHI ATAPONA HUYU MZEE
2026-01-21 16:16:07
0
abubakari5052
abubakari kayanda :
wengine wanasema mtu inafa asubuhi ukiamka unywe maji glasi moja je yanasaidia nini
2026-08-01 18:59:12
0
lagaspal2
lagaspal :
Makubwa
2026-03-15 13:39:18
0
jongoshaushishaus
jongo shaushi :
uwongo
2026-01-22 19:25:30
0
johannesybernard
jaluo family :
Sasa je wanaofunga mwezi mzima wanakuaje
2026-03-20 06:51:30
0
mary.oswald27
Mary Oswald :
🙏🙏🙏🙏
2026-02-10 16:21:05
0
arani415
#NJUJO BOY## :
🥰🥰🥰
2026-01-21 06:31:08
0
adrianhassan35
Adrian hassan :
💪💪
2026-01-21 09:20:03
0
angness.agness.ny
Angness Agness nyantori :
❤❤❤❤🤝🤝🤝
2026-01-24 20:49:53
0
editz_anime78
speciosemugirane7 :
🙏🙏🙏
2026-01-20 14:45:29
0
ali.mvungi
ali mvungi :
😆😆😆😆😆
2026-01-20 15:23:35
1
To see more videos from user @drgreysonbabishomba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About