@maky_skincare: Na hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea kupata muwasho wa ngozi ya uso.Endapo tayari unachangamoto hii usisite kuwasiliana nasi tukushauri na kukupatia product zitakazo kufaa 0620622848 #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #skincare #fypシ゚viral #kenyantiktok🇰🇪
Yani uso wangu unawasha nakuchoma hasa nikitoka tu kuosha uso kuna mda natamani ninikune ndo vile ni uso ila ingekua ni sehem nyingine ningejikuna kwa nguvu sana
2026-08-21 15:39:18
1
halimakimwery :
jamna mimi nawashwa na natumia face wosh ya simple na moisturizer ya simple ila bado nawashwa sijui shida ni nini
2026-06-04 07:45:37
2
Natural glow 🌟 :
nikweli mi uso unawasha sana
2026-07-12 13:33:34
1
Josephine juliana :
mm yangu haiwashi lkn Ina vimba yenyewe
2026-01-21 14:42:47
1
Baby waaa🥰njiwaa🕊️💦 :
hii ndio changamoto yangu 🥺
2026-05-29 17:54:27
2
aminasaidicute :
nakuona hapo
2026-02-03 16:40:16
1
nancy🍭🍫 :
situmii mafuta yoyote ila ngozi inawasha inaweka kama mabaka meusi adi inamenyeka na situmii mafuta yoyote huu mwezi wa pili kwa sababu ngozi yangu ni ya mafuta😢
2026-04-24 21:32:29
3
@razzy15 :
jamani huyo ni mm nawashwa uso najikuna adi unakuwa mwekundu
2026-09-28 20:56:25
1
hildahjerry :
👍👍👍
2026-06-29 06:06:57
1
To see more videos from user @maky_skincare, please go to the Tikwm
homepage.