@jonstarofficial: Oyaaaa.. Baada ya maoni kuwa Mengi Igizo la TASWIRA litarudiwa Upyaaaa ITV. Sasa hii ni Episode ya kwanza, Humo kuna mastar kama wote walianza kuwika huku kabla ya CDs na Mikanda mikubwa (VHS) kuanza kuwa na Soko 🇹🇿. Sasa Tuanze pamoja mwanzo hadi mwisho Kwenye TASWIRA MUDA: Jumamosi saa 3:15 Usiku. #SisiTumeanza #TunaanzaUpya #Daima #Taswira #Nostalgia

Delvis Kasaloo
Delvis Kasaloo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 January 2026 05:43:25 GMT
52791
1517
158
135

Music

Download

Comments

nasraah0
Nasraah :
hukumu ya tunu mnaikumbuka?
2026-01-31 05:37:10
22
fatimakingube1
Fatima Hamis kingube :
ningejua km litarudiwa hata nisingeteska kwenye nyumba za watu kipindi kile
2026-02-02 09:11:47
17
b_flower0
b_flower_black :
Mi nataka darubini irudiwe
2026-01-30 19:25:11
5
msweet82
Kimdori🥰🥰🦋🦋 :
Wangetuletea naile gharika yakanumba
2026-02-11 09:07:48
8
tumah051
فاطمة جابي :
hii ilikua mwaka gani
2026-01-30 07:40:14
1
anton66540
Nuru. :
ila ray hajui kui giza
2026-02-03 14:44:28
0
mampand65
Maryam Pande :
gharika iko wp😁😁
2026-01-31 17:57:35
1
hawacutie5
hawacutie5 :
enzi hzo nna miak 5
2026-01-30 09:37:51
3
salmaa4713
Salmaa :
Ziludiwe jamani, na gharika, syari
2026-02-26 17:10:16
1
miamour930
mi amore :
tbt
2026-04-12 10:05:33
1
lilychric
Lily❤️❤️ :
jumba la dhahabu irudiwe🤣🤣🤣🤣
2026-02-03 21:30:00
1
user372788212177
96Hance :
kuna Taswira Sayari gharika wahenga wenzangu mpo😃😃😃
2026-01-30 15:25:10
2
khadijahmood
khadijahmood :
haya nambieni lini na lini na saa ngap
2026-02-12 21:06:53
0
pline_10
Abigail_Bens :
Wimbi
2026-01-30 20:30:11
2
mazingetz
mazingetz :
Kidedea irudiwe
2026-02-02 09:33:01
1
vianneasmerhedo
Vianne Asmerh Edo :
Sayari
2026-02-01 14:12:34
1
ms_nasseb
ms_nasseb :
Sayari
2026-02-04 23:25:17
1
salicious64
Little licious 💋💋 :
Warudishe baragumu,
2026-02-03 05:20:23
1
leilachichi837
Santana💍 :
kurudiwa hiyo
2026-04-12 15:30:03
1
_bite5
Queen b :
huo wimbo hadi leo naweza kuuimba😁
2026-01-30 13:05:43
1
mirry_3108
Mirry_🩷💙 :
tunataka mbiu, wimbi, hukumu ya tunu nazo zirudiwe enzi izo sikuangalia vizur si mnajua tena mabanda ya sinema 🤣
2026-02-16 19:48:32
2
domisian333
DOMISIAN333 :
sema linaganda ganda alafu mbona kama mwaka huuu tuliwahi kuishi mwaka umejiludia jaman 😢
2026-01-30 12:18:46
3
deeonlinestore
deeonlinestore :
Kadadaaa jmn
2026-01-31 20:01:16
1
g__love
G_love :
Nilikua na miaka 7😀😀
2026-01-30 13:19:35
1
johary.johary85
Johary Johary :
Kuna ile taharuki jmn mnaikumbuka 😁😁😁😁😁
2026-01-31 10:26:35
1
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About