aki this is me ....doc aliniuliza uko sure umebeba mtoto ama ni mafi🤣🤣🤣🤣🤣
2026-01-21 19:08:44
5199
Dee dee✨️ :
madaktari mbinguni ni view once🤣🤣🤣🤣
2026-01-21 13:44:00
2107
Nungah Empress :
Mimi nilikauaka koo juu ya induction nikawaambia Sina mate wakasema hawajaniitisha mate wanataka mtoto. 😂😂 mtoto
2026-01-22 03:29:02
1918
becks_hempskey :
My colleague nurse tukiwa shift aliuliza patient Kama amepewa tender ya mafi juu ya design alikuwa anatusupply mafi💀😂
2026-01-21 16:55:50
1050
Sharon Martin 😍 :
mm round hii nlihara aki wooi 💔 n mbyaaa
2026-07-21 05:28:29
6
kichwa mbaya😂 :
mwingine alikua anashikia ukuta akaambiwa tupee mtoto Sasa spider man.😂😅🥲💔
2026-07-27 08:20:25
30
Kester_EAKS :
CS 📈📈📈📈
2026-01-21 15:52:31
75
duntell :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂na anasema na upole😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-01-21 15:05:16
119
🦋💙 :
Wacha kuniogopesha akh 😭😂😂 June isifike tu
2026-01-21 12:37:22
773
perpetual ❤ :
ati nn imetosha😂😂😂
2026-01-21 12:14:28
12
👜PURE HEART UNIQUE FASHION👗 :
iyo Mafi ni mingi kiasi gani ndio unasema imetosha 😂😂😂😂😂😂
2026-01-21 14:25:22
337
somi🖤 :
mwingine hakuenda na nguo za mtoi.. akaulizwa kwani unataka kufungiwa na gazeti 😂😂😂🤧
2026-07-27 18:47:02
19
Minyawoi :
mafi nitawapatia mshangae🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-01-21 15:13:10
126
Cindy Valma :
Jackie walai 🤣🤣🤣🤣
2026-01-21 13:27:24
15
cess mwangi 2 :
saa nani alinionyesha huyu juu nimeshindwa kutoka kwa hii page yake 😂
2026-07-22 19:53:08
10
KiremaF1 :
😂😂😂 meru general
2026-01-21 11:26:20
55
Lizzy michael :
🤣🤣🤣🤣🤣mnatuogopesha jamani
2026-01-21 11:52:57
21
@mam Amelia🌟💕.closet :
2026-01-21 11:27:24
18
Gee :
I am about to thoroughly abuse this sound😩🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-01-22 09:00:17
66
WeFix PhonExpert🇰🇪🇰🇪 :
wanawake mna nguvu walai
2026-01-21 17:51:39
31
Treach Senior 🧔 :
Mwingine alienda kama hajanyoa akaambiwa .."unataka mtoto atokee kwa kichaka kama safari rally?"
2026-01-23 16:41:08
1857
Wangui wakahia :
Huyo mwingine ni nini amefanya?🤣🤣
2026-01-21 14:05:47
28
Minah collections💜💜 :
Mimi nilijiguza tu kidogo after kupimwa njia nikaambiwa "nyinyi ni wale wanashindishanga vidole huko" mwengine akijibu "saa hii Sio masaa ya utamu mpaka Kwa maternity bed bado uko Na nyege msichana 🙆🙆 true story...waah niliaibika
2026-01-21 14:04:24
809
To see more videos from user @jackie_kenya, please go to the Tikwm
homepage.