@muslim_bank: Talaka 3 #muslimbank #muslim #allah❤️ #theholyquran

Muslim Bank
Muslim Bank
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 21 January 2026 10:03:35 GMT
320264
11549
126
2212

Music

Download

Comments

masfar21
Raiyan :
Halafu wanawake wa cku hz hawagopi talaka cjui kwnn mtihani huu!
2026-01-21 13:12:42
20
user4251192409543
mama lamar :
nime liya sana nimechwa tatu na bado nampenda
2026-01-21 11:19:08
11
youngdady48
Dadys :
na wanaobeba vitu wakasepa ? yaani unarudi hukuti mwanamke ndani?
2026-01-21 11:42:07
5
user13773408513
cammy :
Mm nimepewa 2
2026-01-23 06:13:24
3
hawa.nchula6
hawa nchula :
je kumpa talaka mjamzito inafaa
2026-01-23 12:24:04
2
biberlove5
biberlove5 :
hata mme akitamka mara 10000 na zaid bado itahesabika kama talaka moja
2026-01-22 14:21:13
2
shamsayassinoffic
shamsayassinofficall :
Nimepewa talaka ila aina ushaidi
2026-02-04 05:18:18
2
clever26247
Clever26 :
ivi kuna mtume au nabii alio akaacha baadae akarudia
2026-01-21 12:26:10
0
omican6
zizah Kim🦋 :
samahani je kutamkiwa kuanzia Leo we so mke wangu na Mimi so mume wako ukipata mume olewa na Mimi naoa je hii ni talaka pia
2026-01-23 13:24:25
3
user9609523883937
@fatma_5353 :
follow me back
2026-04-02 23:00:05
0
alimusa1363
Awill mussa :
kwa mfano umempa taraka
2026-01-21 19:58:39
0
imah26tiktok
Imah🦋🦜 :
mim akamua kuniacha nikiwa n mimba natoa mtt wake
2026-01-22 10:01:06
2
qaiya.billali
qaiya Billali💕🦋🦋🙏 :
nachoka mimi mwenzenu
2026-02-04 20:04:52
1
christelle.manira
Christelle Maniraho :
Naaaaam,
2026-01-23 04:27:20
1
qmary_tz
Qmary_Tz :
duuh🥰
2026-01-21 11:08:41
4
wakazirashid7773
wakazi Rashidi :
je unaweza kutoa talaka kwa mkewe akiwa ana mimba
2026-01-22 13:22:51
1
zawad.thomas0
Zawad Thomas :
yaani cjui hicho kitu Nini
2026-01-22 08:38:23
1
abuu.ahlam4
Abuu Ahlam :
shukran
2026-01-21 11:35:07
0
user75832736800573
user75832736800573 :
je ukipewa talaka huku mjamzito inatakiwa
2026-01-23 10:50:52
0
swabzy.hinnah
Swab'zy hinnah🦋 :
mimi nipewa talaka 3kwa mpigo kisha nikiwa kwa hedhi
2026-01-22 07:47:38
0
abdimohdalkareem
Abdi_mohd Al kareem :
nimecheka sana
2026-01-21 13:25:05
0
mkmkmama0
baba watot :
niunge
2026-04-10 17:26:19
0
jumalinyembe530
Juma Linyembe :
vp
2026-03-22 06:10:07
0
s.y8086
S Y :
niulize mimi nimepewa taraka moja na akasema hatoniludia tena na sasa ni miaka 5 si ndio ndoa ilisha kbs au?
2026-03-15 06:24:18
0
nanahappallah33
Nanah :
Mm nmepewa 3 kwa pamoja
2026-04-18 12:09:37
0
To see more videos from user @muslim_bank, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About