@neemagospelchoir: WIMBO UNAITWA - UMENIPENDELEA By: @neemagospelchoirtz 🔥🔥🔥🔥 Wakitaka ushuhuda, waniangalie mimi, maana yote haya ni Mungu mwenyewe amenipendelea!!🙏✨ 🎬 Watch 📤 Share 💬 Comment 👉 https://youtu.be/eafzURCG1X0?si=5mDAbchhazS1qPPx
Huu wimbo🥺🙌🙌unagusa kila angle ya maisha yangu🙌nimejikuta hadi nimelia mchana huu nikamshukuru Mungu bila yeye nisingeweza🙌Hakika amenipendelea🙏.Usikilize huu wimbo kila ukisettle hakika utakukumbusha kumshukuru Mungu kila wakati.Neema Gospel Choir Mungu azidi kuwapa maono ya tungo nzuri mnatubariki sana kupitia nyimbo zenu🙏na mnatuganga mioyo na kuudhihirisha Utukufu wa Mungu maishani mwetu.Mungu azidi kuwabariki🙏.
2026-01-21 14:41:34
25
Vee James :
hv hii kwaya kanisa lao haswaa ni kanisa gan kwaya niipendayo🥰
2026-01-22 12:14:43
7
LOVE FOODS😋 :
Sauti nzuri 🥰
2026-01-23 17:04:17
1
Aline :
waaaoooh eze broo Congratulations 💃💃
2026-01-24 10:32:26
1
Lilianstore98 :
the voice 😍😍😍
2026-01-21 22:14:05
3
Agness bliss :
Mbarikiwe sana watumishi
2026-01-23 19:04:21
1
baby naah :
mbarikiwe sanaaa🥰
2026-01-23 11:19:03
1
canto rizzo :
wow beautiful 👌👌amen
2026-01-23 15:22:19
1
VINCENT :
Neema choir ya ishi wapi ?
2026-01-23 21:35:58
1
Mtoto wa Mungu :
Amen
2026-01-24 02:35:17
1
Irene kweka95 :
umenipendeleaaaa🥰
2026-01-24 20:59:51
1
Daniel For God :
na wa penda sana ❤❤
2026-01-23 23:22:00
1
Alphayo :
une très belle mélodie vraiment
2026-01-23 19:32:22
1
hadassah🇰🇪🇿🇲 :
mimi ndo mumeimbia huu wimboo
2026-01-22 10:09:43
2
SON OF MINISTER😇 :
I think mama mwenye mwanya kawazidi wote ku smile☺ wewe umetenda wewe emefanya
UMENIPENDELEA alf unainama kidgo ivi daaa💯huu wimbo❣❣❣❣❣❣❣😇
2026-01-21 13:12:06
5
h3avy_soul 🦋💫❤ :
fav song kwakweli bora imetoka🥰🥰🥰🥰
2026-01-23 08:23:24
4
micalb8 :
Amen 🙏🙏
2026-01-23 20:19:33
1
Teddie :
amina🙏
2026-01-24 11:01:27
3
🦋Vonnie🦋 :
wow glorious voices👌
2026-01-21 12:11:41
3
Agness :
Amen 🙏🙏
2026-01-23 09:12:29
1
hoydex :
Neema Gospel Choir 🔥
2026-01-21 14:56:57
2
ochu tz :
tishet naipata wapi jamani 🥰🥰🥰
2026-01-23 11:32:03
1
_sammy🦋_ :
mugu awabalik sana wa2mishi nawapeda sana
2026-01-24 20:08:25
1
Love🥰❤️ :
kazi nzuri sana mbarikiwe watumishi🙏🙏
2026-01-23 22:03:54
1
To see more videos from user @neemagospelchoir, please go to the Tikwm
homepage.