kwahy hiyo chumvi nikimwaga tumboni mwangu mara 7 ntapata mtoto🙏🙏
2026-01-22 09:44:15
435
pendolanatural :
Chumvi ya kawaida au ya mawe
2026-01-22 09:49:49
135
user maggy :
vip kuhusu sisi mawakala wa miamala pekee
2026-01-22 09:47:34
35
Lenie_ :
Nina ushuhuda 🥰
2026-01-22 10:57:23
67
Rosemary Rwabibi :
sema nn kaka kuna ile sala ya kufukia vitu na kufufua niliifanya had mbaba wangu kaondoka ile ni hatar 😂😂😂
2026-01-22 17:03:34
46
MsVee :
Nna swali lakini why mara 7, kuhusu sisi ni chumvi ya ulimwengu hapo Sawa .. Jamani nijibuni kabla nianze. Nini maana ya ishara Mara 7??
2026-01-22 07:23:50
14
Nelyma💞💕 :
Is this even Biblical??????Some things sounds not okay
2026-01-23 06:00:40
8
lr Gloire Birindwa Enock :
Damu ya yesu Christo ina tosha mtumishi
2026-02-06 21:41:23
24
sammy :
Mimi ni chumvi ya ulimwengu 🙏
2026-01-22 14:26:33
78
invisible :
unaweza kutumia kwaajili ya kupata kitu ama hata kuondoa tatizo?
2026-01-22 10:52:40
16
oldQueen :
sisi mawinga tunamwaga chumv wap😳😅
2026-01-23 09:49:27
7
Chicago's Drip Codes :
Mawinga wenzangu wa online tunafanyaje apa🙂↔️
2026-01-23 01:04:29
6
Miss Annie 💕 :
Amina❤
2026-01-22 06:10:52
6
EMMY_STORE :
Mathayo 5:13
2026-01-22 18:27:35
7
G1❤️ :
AMEEN ninaenda kupokea kibali juu ya biashara yangu
2026-01-22 08:15:50
14
Uju okoli 🥰🥰💗💗👌 :
Sisi ni chumvi ya dunia tena ni nuru ya ulimwengu 🙏🙏
2026-01-24 10:41:55
6
Sky_Viva :
Mimi ni chumvi ya ulimwengu
2026-01-22 11:39:08
21
❤️🫰🏻 :
Amina🤲🏻🤲🏻
2026-01-22 06:02:14
9
@ baby of God💞 :
This is my first time to try something and it works 😭😭guys God will exist I swear nili amuka nikafanya ivyo nika nawa uso wangu mimi nilikuwa na lazima ya pesa sana kuna mtu kanitumiya 50k saiyi guys i wasn’t except that 😭
2026-01-23 09:00:42
8
glory :
True kabisa nafanyaga hiv na biashara inaenda haikai🙏
2026-01-22 15:10:51
7
am_favoured✨🥰 :
Mathayo 5:13🫶🏻
2026-01-22 05:56:47
6
caro vijora classic :
I do believe in God not salt, if God can make salt why do I use salt instead of God who made salt!?... sijawahi kuamini kwenye hivi vitu mtanisamehee
2026-02-05 12:07:18
11
florakr715 :
Kama ni bites Mtumishi nikizmwagia mara 7 zitakolea chumvi au naweza mwagia nje ya kontena
2026-01-22 06:20:24
7
Jeni John :
mtumishi Je? nichumvi ya mawe au yakawaida
2026-01-23 08:55:15
9
To see more videos from user @hearing.gods.voice, please go to the Tikwm
homepage.