@siri_za_vitabu_: Jana nilikua narudia kusikiliza Interview ya Mo Dewji Katika hii interview, Mo Dewji aliulizwa swali muhimu linalotuchanganya wafanyabiashara na wajasiriamali wengi: 👉🏾 Kwa mtu anaehitaji ubilionea je ni bora kufocus (kujikita) na biashara moja hadi iwe kubwa sana, au kujenga vyanzo vingi vya mapato? Jibe lake linafikirisha kwakua limegusa muktadha wa uchumi wakitanzania na Afrika. Anasema hivi….. “If you’re in an economy that is large enough like the US, then you can just do one thing and become Elon Musk.” 📘 Tafsiri: Kama uko kwenye uchumi mkubwa kama Marekani, unaweza kufanya jambo moja tu na ukawa Elon Musk (Utajiri wa Elon Musk) Anaendelea kusema: “When you look at East Africa where the GDP of economies are 40 billion, 50 billion… you can’t just do one business. You’ll get to a point of saturation and you’re not going to reach your billion.” 📘 Tafsiri: Afrika Mashariki, ambako uchumi ni mdogo kulinganisha na masoko makubwa, biashara moja pekee itafikia point ya saturation mapema — na hautafikia kwenye bilioni. “Point of saturation” ni pale ambako unaona biashara haikui zaidi 🔥 SOMO: Strategy ya biashara haiigi watu — inaendana na mazingira. Kile kinachofanya kazi Marekani, hakifanyi kazi Afrika Mashariki bila kubadilishwa. 🧠 KEY TAKEAWAY: • Focus huanza safari • Diversification hukamilisha safari • Context huamua ukubwa wa mafanikio Kama tunahitaji ubilionea DIVERSIFICATION ni muhimu kwenye huu uchumi wetu FANYA VITU VINGI 👉🏾 Swali la kujiuliza leo: Je, kwenye biashara yako unajenga umilionea au ubilionea? Na utafikaje huko? Mfaume Hassan ✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽✍🏽
SIRI ZA VITABU
Region: TZ
Thursday 22 January 2026 07:38:36 GMT
Music
Download
Comments
Lord Sr :
Now I know, some people become millionears not becuase they are lucky but because they are smart and maticulous
2026-01-22 13:26:12
115
Bita Charles :
we need more podcast like this.
2026-01-22 10:50:52
31
Eco7991 :
i know someone getting more than a billion within a year doing a single thing
2026-01-22 15:42:34
16
AFRiCANA's :
Ukitaka kutoboa do multiple businesses. noted.
2026-01-22 13:59:22
10
mangi :
🤝 bando langu halijaenda bule
2026-02-03 14:29:53
8
user4261907080753 :
this is what i have been telling people.. focus will lead you to stagnation
2026-02-12 06:16:18
5
Masha Mashauri :
🤔🤔🤔
2026-01-22 09:19:55
5
_iam.rayan :
But sometimes diversification is terrible
2026-01-22 14:21:57
4
The.real.Khalil_hassan🇹🇿 :
This guy his smart and not selfish I'm gonna listen to whatever he's saying his name his Mohammed dewji
2026-01-22 22:38:32
4
Phyto-Vivara :
Jamani, haya ni madini kabisa✨👏🏾
2026-01-22 22:38:59
4
Pxv :
🤝Consistency beats intensity. Every time.
2026-01-23 18:05:43
3
Mansa Musa :
huh...
2026-01-23 16:30:24
3
Enock Makere :
Where do we watch the whole podcast?
2026-01-22 19:29:35
3
short_long_rental :
we need full interview please
2026-01-22 19:37:08
2
Vicenzo Jr😎 :
hii podcast/interview inaitwqje tukaiskilize?!
2026-01-22 21:09:45
1
mr edward :
💪💪💪
2026-02-11 22:05:35
1
Northpole Informatics :
Dah! sasa mbona mnatuchanganya????
2026-01-22 17:00:18
1
Sharpkul Mfalme :
where can I get the full interview?
2026-02-17 14:19:38
1
siril :
🥰🥰🥰
2026-02-17 19:57:49
1
Paris Kamunga :
asante kwa ushauri yako mo
2026-02-22 08:50:21
1
MirzaFaizanAmin :
BOSS....🔥🔥🔥
2026-03-01 14:45:12
1
MinnahMahmoud :
As I think, better focus on one business, grow it first, then expand to others, don’t start everything at once unless you’re well prepared.
2026-03-15 11:31:17
1
buytz_store :
😁😁😁
2026-06-21 23:44:55
0
josera :
Very legit
2026-05-07 05:31:54
0
divergent_vee :
Even Shigongo once said such thing on one of his pods years ago
#multiple source of income#
2026-04-21 07:40:36
0
To see more videos from user @siri_za_vitabu_, please go to the Tikwm
homepage.