@faidikanandoayako: Aziza mwari wangu unapomalizana na mumeo narudia tena wakagua shuka zako mwari ni mwiko kutandika shuka lenye Laman za usiku pia shuka zako tandika siku mbili tu ya tatu toa kafue aziza na zile shuka zako nzuri ndo shuka za kutandika ukalalia na mumeo unanielewa mwari wangu? Azizah mwari usiende ukawa mchana watandika shuka nzuri usiku usiku ukiingia watandika vituko wenyewe mnaita sijui shuka za kulalia mim.na kwambia kwenye maisha ya ndoa hakuna shuka za kulalia bali shuka zako nZuri.katandike ulalie na mumeo mwari kumbuka kwenye maisha yako ya ndoa mume ndie mgeni rasmi ooh shari zako👌🏻 Aziza mwari wangu ukiacha hilo tu mwanamke msafi hutandika shuka jeupe dada akalalia na mumewe unanielewa mwari wangu? Usiende ukawa wajifanyia mambo ilimradi nakwambia mumeo utamuudhi aziza kila.nachokufundisha nenda kakifanyie kazi unanielewa mwari wangu? Aziza pia usiwe mwanamke wakuanzisha magomvi kitandani nakwambia mumeo utamkimbiza ndani mwari kitandan ndio sehem pekee ya.mume kupata utulivu aziza Usiende ukawa na gubu kitandani wala usiwe mtu wakushitaki shitaki kitandani badala yake ukawe mke mwema unapokua kitandani na mumeo mwari wamliwaza na kumuimbia mashairi unanielewa mwari wangu? Mumeo nenda kampende lakini.pia kitandani kwako yaan chin ya godoro lako usiwe waficha vidaso vyako vya hedhi mwari ni usungo nakwambia....

🌹faidika na ndoa yako🌹
🌹faidika na ndoa yako🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 January 2026 08:00:10 GMT
191818
4604
82
544

Music

Download

Comments

ibra.classic
Ibra classic 💪 :
kuna jiran yangu nilimsikia anasema alifanya yote hayo ila mjane ndoa ya pili sana 🤣
2026-03-05 15:00:21
4
azham4229
azham :
asnte kwa ujumbe
2026-01-22 18:53:21
10
user4373253306580
hadija :
somo yusra Mimi nataka niwe mwali wako Mimi nimeshaolewa ila nahitaji mafunzo yako nimeyapenda[Laughing]
2026-10-03 11:48:24
0
fatumahussein230
🎈✨️qute dachima💥 :
pambeeeeee
2026-01-22 15:04:05
5
ivvnyissackh
it's I##&m@n@🦋 :
nimesoma mpaka mwisho Bado Mme tuu Asante dada nimeelewa na inshallah tayafanyia kAzi maneno haya wow🥰🥰🥰🙅🙏🙏🙏
2026-02-10 18:36:09
9
sallyvintil1
SallyVintil1 :
well noted✅️📌
2026-01-22 16:25:40
2
raudesam
raw de sam :
nitumiee namba yako kwanza uwe kungwi wangu inshaallah
2026-02-07 12:40:40
3
naachambi06
Nasrah chambi06 :
mashaaallah🥰🥰🥰🥰
2026-01-22 15:32:59
3
lidiyajohn29
Raidy :
da! pamependeza kwer
2026-02-06 08:32:30
1
halimashabani262
halima :
tuonyeshe jinsi ya kupamba
2026-02-06 15:53:26
0
kamicazekiiza31
kamicazekiizadela :
mwezi wa tano Niko na ww 🥰
2026-02-03 15:42:10
1
ummu.khairuni
ummu Khairunissai :
Asante somo wetu🥰ujumbe mzuri maa shaa Allah
2026-02-20 04:04:11
1
user6126887296655
user6126887296655 :
pambeeee
2026-01-28 13:23:24
1
azizahasani1045gm
azizahasani :
Asante kungwi wangu
2026-02-12 14:29:16
1
aisha.hatibu50
aysha💞💞 :
pambeeee🥰
2026-01-31 09:03:27
1
mrsmfau2
Mrs mfaume @ :
mashallah
2026-01-30 13:25:14
1
user2160294063735
user2160294063735 :
asant somo
2026-01-30 22:46:50
1
ibra.classic
Ibra classic 💪 :
nipende kwa nia nipate tulia🥰
2026-03-05 17:02:24
1
irakozemariam618
ma atfah 🥰💞🇺🇬 :
wow
2026-10-22 17:47:37
0
maitham.mashaka
Maitham Mashaka :
somo nifundishe
2026-08-31 20:00:43
0
ukhutyazizaah
🎀ukhuty_zizaah🎀 :
kwani aziza sa🤣
2026-09-24 07:40:08
0
user87044wahind
wahind ♥️♥️ :
pambee
2026-09-22 15:12:37
0
user7404427916362
ashura :
wao
2026-09-02 09:33:49
0
janethdonath903
love ❤️ lovely 😍 :
tunaomba namba zako
2026-11-01 12:07:38
0
faumavoice
Ma chineke😘🫦❤️ :
🥰🥰🥰 Pambe
2026-02-08 10:17:50
0
To see more videos from user @faidikanandoayako, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About