@saleemhemedy: Kuna sehemu Gani Duniani ambayo watu wanasheherekea Eid kuliko zanzibar? swala ya eid ukianza maandalizi nguo,vyakula,mambo ndani ya nyumba,viwanja vyakufurahishia watoto

Saleem Hemedy
Saleem Hemedy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 22 January 2026 13:55:25 GMT
107282
3545
383
413

Music

Download

Comments

nanaasimba
Nanaa :
Hakuna kwa kweli. Zanzibar Ramadhan na Skukuu ya Eid kwetu ni tunu na ni jambo kubwa mno na tunalipenda mno Ma Shaa Allah and Alhamdulillah
2026-01-22 19:59:24
210
user7686333961538
user7686333961538 :
mungu ampe kauli dhabiti mamaangu yani ikifika skukuu namkumbuka sna yani
2026-01-22 17:52:02
111
ndoi_r
Ndoi_R :
na unyonge wetu ila ilikuwa tuna furaha sana .. alhamdulillah
2026-01-22 17:58:57
179
salha.rashid6
Salha Rashid :
namkumbuka bibi yangu lazima anipake hinna🥺 Allah amrehemu
2026-01-22 19:44:45
70
atrash__
Atrash :
Oman
2026-01-22 21:46:10
5
namuu61
Naifat suleiman :
Allah awasameh walio tangulia mbele ya Haq
2026-01-23 03:19:57
63
user8804091844861
user8804091844861 :
hamna hamna hamna mpaka itafika kiyamaaaaaa
2026-01-22 19:33:49
8
omenaxr
Birinara beauty _point :
Daah nimekumbuka mbali San bibi babu ,baba hawa wat Allah awarehemu😭😭
2026-01-22 20:52:25
36
uniquetham
uniquetham :
Mungu ampe kauli thabit baba Ang 😭😭najikuta nalia nakumbuka kipindi cha skukuu anavopendeza kwenye vazi la kanzu 🥰🥰nasie tunasubiri atupe pesa ya iddi
2026-01-23 10:13:29
31
idaty21
Bint Yussuf :
imenikumbusha miaka ya 2000🥺🥺🥺hii kasida,zamani ndio kulikua na skukuu sio siku hz
2026-01-23 00:22:26
15
miymahan
Miymah :
Dah tulikua tunainjoy sana ikifika skukuu Zanzibar mji mzm na vijijini ni sherehe uwe tajir uwe maskin mashaallah🥰
2026-01-22 20:34:50
11
salumothman332
Salum Othman :
mie sijaona kama Zanzibar na wimbo huo unanikumbusha miaka ya 1984 Mashaallah mungu akujaze heri kutukumbusha tulipotoka
2026-01-22 19:35:19
29
missrah75
missrah kitchenware rental🥄🍽 :
mbona nimeanza kulia kwa hakika nimepoteza watu muhimu kwenye maisha yangu allah awasameh
2026-01-23 05:55:05
19
saiab24
saiab collection :
nmesoma comment najikuta nalia wengi tumepoteza vipenz vyetu allah awape makaz mema pepon😭
2026-01-25 05:45:52
18
zeynahbrand
Zeynah _brand👗🛍👠 :
mungu mrehem shangazi yangu na umsameh makosa yake umuisabia mabaya kwa mema ameen🤲na umpe kauli thabit uko alipo
2026-01-23 20:01:03
6
mariamdola
Maryamdola :
Dar tumetokaa mbali na Zanzibar yetuu
2026-01-23 04:04:10
6
zuwena263
ilmia :
hakuna kama zanzibar
2026-01-23 07:59:39
5
ym_mora2
بن مسود ❤️ :
Hakuna Kama znz hapa ulimwenguni Allah atulindie amani yetu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-01-23 03:29:52
6
haf5657
Mrs.Mahaba :
zanzibar nchi yangu sijapata kuona jinsi watu wa nchi yangu tunavyojua kuisherehekea eid alhamdulillah
2026-01-22 20:00:26
7
arkam.muhiddin
Arkam Plumber 🪠 service znz :
nimemkumbuka kaka angu tulikuwa tukisheherekea pamoja Allah Ampe kauli thabit
2026-01-24 12:06:35
5
habibsharif650
Habib quad zanzibar :
Zanzibar ni moja tu duniani
2026-01-23 07:35:46
5
answar007
anapnaho :
Jina la album
2026-01-22 14:19:09
6
hawiyasalum2
hawiyasalum2 :
Alo unanikusha mbali sana dah unatamani kulia kwakweli dah🥺🥺
2026-01-22 20:23:22
5
bobllyhassan
De...Vava⚓🛟 :
hakuna Zanzibar Raha ❤️Wallh
2026-03-21 20:45:53
1
user951298041069
user951298041069 :
zenjiiii
2026-03-30 15:26:55
1
To see more videos from user @saleemhemedy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About