@nugaz22: Salamu ina utaratibu wake kwa anaetoa na yule anapokea salamu kwa utulivu sikiliza hii ujiandae na Ijumaa. NasahaPlustv inapatikana Youtube. #alhabibnugaz #nasahazawema #ijumaamubarak #ukumbushokatikawema

Antonio Nugaz
Antonio Nugaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 January 2026 04:46:12 GMT
88839
6679
115
546

Music

Download

Comments

advance380
KINGDOM :
huyu Kuna muda alikua mwana muziki au nakosea
2026-01-23 09:00:17
3
miriamu.sikanyika
MIRIAMU sikanyika. :
class met wangu...habari ya siku..mie sikanyika. rose..😂
2026-01-23 08:41:59
5
abui05
ABUI :
swadakta Allah barik
2026-03-26 06:28:43
1
pablo.masanja
PABLO MASANJA :
uwa mnayasalimia majini mnayo yafuga
2026-01-23 13:12:24
1
dimwe66
DiMwE,/ :
Shukran
2026-01-23 10:05:24
0
user7988217161606
FATEE FETTY :
Maadil yameshuka shekhe
2026-01-23 11:00:38
1
nastepftvs6
zamzam :
Kweli
2026-01-23 18:23:12
0
sadabaraka
ummu sayfan :
hao wageni ndio wabaya wanaiba watoto
2026-01-23 09:29:27
0
daniella.stylist
dannycrosheiya :
Wapita wasalimia mtu yuakujibu,kama umemlazimisha
2026-01-23 08:26:39
2
mamuu_cakes_and_bites
MAMUU CAKES AND BITES :
Kweli kaka angu
2026-03-02 13:32:04
1
tariqgeorge68
OG :
asalaam alaykum, wape salaam
2026-01-24 04:35:19
2
h.i.b95
HB tz 🇹🇿 :
shekhe unatoa funzonkubwa sana
2026-01-23 10:13:49
0
aishamzeehamissi
aishamzeehamissi :
Asalam ni kweli kusalimianaa
2026-04-10 07:28:40
1
khalidyjr
KhalidyJr :
MaashaAllah
2026-01-23 10:40:04
1
naasjoseph
Martha Joseph :
Asante ndugu katika imani kutupa Maarifa,Allah akujaalie kheri
2026-01-23 12:53:37
4
salehelhamdan
Saleh Elhamdan :
sheikh wallahi inauma sana sasa nimesema naonekana mjinga Naambiwa nisilete mambo ya zamani inshallah kwa uwezo wa Allah watarudi heshima ya utaratibu wa kiislam Salamin Rabii alamin shukran sheikh kwa ukumbusho
2026-02-15 05:09:47
1
abui05
ABUI :
waalaykum salam warahmatullah
2026-03-26 06:31:34
1
allyshop.real.esta
Allyshop Real Estates :
Masha Allah Elim Nzuri Allah Akutunze Kwa Ajili Yetu Nugaz
2026-01-23 14:14:19
0
safialisha6
safialisha6 :
unaleta salamu mtu mwengine anaku zarahu
2026-04-02 15:46:36
1
khadija_mjadala
dida mjadala 😘😘😘😘 :
mashaallah kwa ukumbusho ulio mwema
2026-01-23 08:42:41
6
suleimanashraf3
Suleiman ASHRAF :
JAZAKALLAH L KHAIRY
2026-01-23 07:51:30
3
nuraabdul07
nura abdul :
hivyo ndivo tulivyofundishwa zamani
2026-01-23 05:09:50
2
yasrishokat
Yasri Shokat :
Hakika
2026-01-24 10:57:15
2
bint.al_hamidy
bint.al_hamidy :
Masha’Allah Jazakallah khayiran ALLAH atalipa kwa ukumbusho wako
2026-01-23 10:46:00
2
einot2
Einot2 :
KWELI KAKA ALLAH AKULIPE WEMA.HAKIKA UNATUMIA KALAMU NA MEDIA VZR WW NI BORA UMECHAGUA NJIA NJEMA
2026-01-23 17:00:54
1
user3257329149079
naila juma :
🥰🥰🥰
2026-01-24 06:13:48
1
mrs.tlove
Mrs Tlove :
Mashallaaaah@🥰🥰🥰
2026-01-23 13:32:04
1
aishamwangi162
Zee♥️ :
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
2026-01-24 06:39:56
1
user97284191062853
aminah :
mashaala
2026-01-23 12:35:36
1
binti.jama
Binti 99999 :
MaashaAllah jazakumu llahu khairaan
2026-01-25 03:08:24
1
user620337451
nanalee :
kabisa shekh
2026-01-26 16:44:29
1
user66181228550306
Amina shabani :
hakika sheikh 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-01-23 12:35:09
1
fatumamohamedali1
Fatuma Mohamed Ali :
Mashaallah
2026-01-27 10:11:01
1
sheshe.kwemayogwe
Najma sheshe :
kweli
2026-01-27 10:19:57
1
adidjmu
Teriteka beauty🧚 :
👏👏👏
2026-01-27 11:21:49
1
double.h.collection
DOUBLE H COLLECTION :
sadaqta
2026-01-29 16:03:23
1
22bosskasema
🤠 :
swadakta
2026-01-23 04:56:33
1
tupadafounder
tupadafounder :
mashaallah hakika Salam ni mujibu
2026-02-27 15:31:23
1
aminarajabu029
Aminarajabu :
😂😂😂
2026-02-17 05:29:56
1
mahuwileabdallahrashda
rashdamahuwile :
Umeongea Points MAASHAALLAH M.Mungu akulipe Khery ww na sisi watazamaji na waskilizaji kwa ujumla
2026-01-30 11:01:47
1
wahid.chageni
Wahid Chageni :
mansha Allah
2026-02-13 11:43:54
1
yahyabihak19
Yahya Hussein Abdallah :
Baraka llahu fyk habibi ❤️
2026-02-13 06:14:54
1
kauthar682
kauthar :
watu wamebadilika sikuizi,.
2026-02-07 19:43:11
1
msami946
msami :
kweli shukurani
2026-02-07 09:46:50
1
zulfattamimu546
Zulfat Tamimu :
mashallah 🥰🥰
2026-02-05 19:47:27
1
allanpiyayya2
Allan Piyayya :
Utandawazi
2026-02-04 17:38:47
1
mr.fundi_banza
Mr.Fundi Banza :
Kabisa kaka
2026-01-23 08:25:53
1
user31153422818858
salmashekashia💕 :
asalaam aleykum 🤝
2026-01-23 10:36:22
1
zainasaid11
zainabsaid12 :
n kwl Allah akujazi
2026-01-23 10:20:00
1
allycobbic591
Ally Cobbic :
🤭🤫🤫🤫🤫🤫🤫
2026-01-23 10:18:44
1
salha.rajabu5
Salha Rajabu :
Kweli kabisa
2026-01-23 08:44:49
1
cuterwanda5
cuterwanda5 :
🙏🙏🙏
2026-01-23 08:28:09
1
To see more videos from user @nugaz22, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About