kumsahau mtu unaempenda nisawa na kutaka kukumbuka kitu ambacho ujawahi kukiona
2026-01-23 16:21:35
181
Jane store :
Dah kumbe ku move on kazii hiviii😭
2026-01-23 14:09:58
106
♥️🦋Beatrice🦋♥️ :
daah mayatima wa mapenzi tupo wengi
2026-01-23 20:18:45
51
🦋mìşŝ🦋ķámɓę🦋 :
kusema tu ukweli kila mtu huumizwa na mapenzi 😩😩😩
2026-01-23 19:43:56
39
Rebecca D :
hii nyimbo inanikumbusha mbali cn😭😭
2026-01-23 18:23:01
26
ȺFƗȻƗØNȺĐØ ɈɌ🐬 :
Wanangu tutafika🤝
2026-01-23 13:43:02
17
bellaaloyce :
vanessa alimumiza sana uyuu
2026-01-24 16:58:43
15
Rich Antia :
nice
2026-01-23 14:28:28
13
Merinacosmetics💄 :
Mie nipo hapa nateseka rafiki enu 😭😭😭jmn kuna mtu nampenda sana na promiss nyingi tulipeana yn kuna badhi ya vitu ving tumefanya pamoja lkn sijui nn ghafla tuu😭😭😭😭,Namuomba Mungu anipe roho ya ujasiri sana man natesekaa mnooo😭😭,Mie hata nipewe pesa kiasi gn lkn bila yy bado😭😭😭😭😭😭
2026-02-26 12:14:04
12
p daddy music Kenya :
this is biggest tone in town 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-01-23 12:44:55
12
The💥 Dragon🦋 Princess 💍 :
Konokono wenzangu pitieni huku wasitumwagie chumvi😅😅.
2026-02-27 10:14:31
8
jux me :
ata Mimi ndalia siku moja juu ya furaha kama hii
2026-01-23 16:38:43
8
wity :
Jina la wimbo please
2026-01-23 12:36:50
8
pookie :
Kumbe diamond alikuwa msimamizi ya ndoa ya jux😁😁😁😁😁
2026-01-24 05:22:39
7
caren conta :
oooh mara vanesa nyonyo kutwa nyimbo kama alipata kwingine na we umepata kwingine na tamaa haujakata
2026-01-23 12:52:36
7
heis_philipo :
15/15 nalipa chap
2026-01-23 19:10:18
6
paulinazmagongo :
kumbukumbu nzuri nimeipenda
2026-01-23 16:00:57
5
Naira Jamal :
kusema kweli jux na Vanessa ilikuwa Couple iliyokuwa inapendezana hivyo anamfikilia sana
2026-01-25 06:27:27
5
Mr_Joker 9🏆🐒 :
Na Me Nitapata Pengine 🤦🤦
2026-01-23 19:10:36
5
She 💜 :
I don't think I can love like this again
2026-01-24 09:41:47
4
Kemu :
oga why de cry now .
2026-01-23 16:17:29
4
zey hassan :
jina la wimbo
2026-01-23 20:24:52
4
Mark Filly :
m🥰
2026-01-23 13:37:55
4
Sarah Charles :
jamani umeachwa kipenzi, pole mungu atakupa alie sahihi kwako🙏🙏🙏
2026-01-23 20:44:25
3
mom Shammah Bby ♥️👌 :
Daaaa
2026-01-23 13:29:08
3
To see more videos from user @cplyrics0, please go to the Tikwm
homepage.