@dakshy_: Hongera sana mwanangu @Riphath15 kwa kutimiza nusu ya dini,Allah akupe kheri na neema tele kwenye ndoa yako na awape furaha isiyokuwa na mfano,awape na kizazi chema In Sha Allah,hakika hii ni siku ya furaha na sisi sote tumefurahika @Ibrah Sulley @sabri_gazza @Fakhad Almas..NDOA YA MAHABA MOLA ATAWAJALIA IN SHA ALLAH🤲 #ndoa #fyp #fyppppppppppppppppppppppp #viral #tanzaniatiktok