@ibraah_food_suplement: Cholesterol au mafuta mabaya yakizidi mwilini huanza kuharibu afya kimya kimya. Husababisha mishipa kuziba, presha kupanda, maumivu ya kifua, kiharusi (stroke) na matatizo ya moyo ❤️ Usisubiri mpaka dalili ziwe kali — linda afya yako mapema kwa kudhibiti mafuta mwilini. #Cholesterol #MafutaMwilini #AfyaYaMoyo #Presha #StrokeAwareness