@fainess_health_clinic: ❣️Madhara ya kahawa kwa mgonjwa wa acid reflux 👉Kuongeza kiungulia Kahawa huongeza uzalishaji wa asidi tumboni, hivyo asidi hupanda hadi kooni. 👉Kulegeza mlango wa tumbo (Lower Esophageal Sphincter Kahawa hufanya misuli ya mlango wa tumbo ilegee, kuruhusu asidi kurudi juu kwa urahisi. 👉Maumivu ya kifua na koo kuwaka moto Dalili hizi huonekana zaidi baada ya kunywa kahawa ukiwa tumbo tupu. Kichefuchefu na tumbo kujaa gesi 👉Kahawa huchochea tumbo na kuharibu mmeng’enyo wa kawaida. Kikohozi sugu au sauti kubadilika 👉Asidi inapopanda hadi karibu na koo, husababisha muwasho wa njia ya hewa. 👉Kuharibu usingizi Kahawa huongeza asidi na pia ina caffeine, ambayo inaweza kufanya dalili za reflux ziwe mbaya zaidi usiku. 🌹 Karibu nikusaidie ::255;773;14;656;;60 #usa #acidreflux #tanzaniantiktok🇹🇿 #yourpage #canada