bado hajatokea dancer wa kumzidi msami in his prime
2026-01-24 08:01:26
507
Charlie💔 :
wakati sijui uchungu wa utu uzima🥺🥺
2026-01-24 08:43:52
227
Travis_Piccasso :
Ngoma siku naisikia kuna Boda alikuja kupark shule muda uo nafanya mock form two, msimamiz akatoka kumwambia boda aondoke nasis tukapata chance ya kuibia [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 10:01:09
5
M.A.R.Y.A.M😩😍 :
2026-01-24 13:05:38
119
IMU (MJUBA) :
kitambo 2001 niko latano🥰🥰
2026-01-26 08:23:46
22
kíçhéñg@ ßøy_7 :
oya una gusa midude ile ile had nime kufollow
2026-01-24 06:42:40
30
🌴..ALONE ☘️👣 :
whooh 🤣🤣
2026-01-24 14:42:22
16
malafyale G🐐 :
Ngoma ilonifanya nionekane dancer primary dah💯💯🔥
2026-01-24 07:42:05
69
MREMBO MITUMBA 2 :
hii nyimbo ndo ilinifanya nipende kudansi😂😅. bro msami anajua mbaka anakera🥰🥰
2026-01-24 12:17:42
23
Jziana🥰 :
@
2026-01-24 12:24:30
20
Baba Ummi :
yaani hii ngoma naipnda ile mbya
2026-01-23 17:51:26
19
💗mtoriiy🎀 :
2026-01-24 13:23:21
24
mfalmedouglas :
Me because i couldn’t dance
2026-01-24 16:14:36
7
Jeca 🌬️ :
2026-01-24 15:43:05
8
Dastan Daily Entertainment :
2026-01-24 14:23:32
9
Lilie atelier :
2026-01-24 16:43:16
6
@mwati 303 :
2026-01-24 14:05:19
6
🦢! :
daaaaah😂💜
2026-01-24 10:40:41
5
“KAKA WA MAN U” :
Yani ngoma za msami ukisikiliza ni kama bado mpya uyu jamaaa alikuwa fundi sana
2026-01-24 09:04:25
7
NELSON EL COORDINATOR :
watoto wa 2005 hawaijui hii ngoma watafikir ya modn😁😁
2026-01-25 09:05:29
18
Mudy fleva :
NYIMBO HII NIPO DARASA LA 7
2026-03-05 02:27:41
5
Tauro :
2026-01-24 12:45:59
7
asteriamichaelkal :
jmn msami kapotelea wap nlikuwa napenda ngoma zake sana na anavyocheza had raha
2026-01-24 08:04:05
29
Chichi🫧🍃 :
Apo apoo kiuno kidogo 😁
2026-01-24 15:32:39
7
she sweet😘❤️ :
jamin hii nyimbo nilikuwa naipenda mno
2026-01-24 12:03:22
5
To see more videos from user @hitsongs47, please go to the Tikwm
homepage.