@juice_asilia: Juice ya Embe 🥭, Passion 🧡 na Karoti 🥕mchanganyiko wenye ladha nzuri na yenye kuburudisha. 🥭 Embe huimarisha kinga ya mwili 🧡 Passion husaidia mmeng’enyo wa chakula 🥕 Karoti huboresha afya ya macho na ngozi. Kama umependa juice hii Usiache kulike na kufollow akaunti hii kwa ideas za juisi. Usisahau kushare na kumtag mtu anayependa vinywaji vya afya kama hivi. 💚 #fyppppppppppppppppppppppp #forypupage #mangojuice #passionfruit #viral_video