@msmothers1999: we JUST got over this hurdle thank goodness! part of our 8-9 month sleep regression was mainly because she learned to stand up in the crib but couldn’t get back down so she would just cry and cry until we went in there. thank goodness it only lasted about 2 weeks before she learned! and we transferred her to a pack n play for a while so if she did fall it wasn’t as hard on her head #firsttimemom #sleepregression #babythings #momfyp #9monthsold

Mariah Smothers
Mariah Smothers
Open In TikTok:
Region: US
Friday 23 January 2026 15:14:47 GMT
6643
69
6
6

Music

Download

Comments

katelyn.m.rowe
katelyn.m.rowe :
Mine falls over, bonks his head on the rails and decides he’s over it and falls asleep in like a turtle. 😭.
2026-01-23 15:32:57
2
mamaken24_
Kenna Seaman| UGC + MAMA :
Literally my daughter too
2026-01-23 18:26:05
1
melba7352
melba :
🥰🥰🥰
2026-01-24 17:35:25
1
To see more videos from user @msmothers1999, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*ACID REFLUX SIO UGONJWA TU ILA NI DALILI* Acid reflux siyo ugonjwa peke yake bali mara nyingi ni dalili ya matatizo mengine yanayoathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula au viungo vinavyohusika na usagaji wa chakula. Hapa kuna magonjwa saba yanayoweza kusababisha acid reflux kama dalili, pamoja na maelezo yake kwa kina. --- 1. *Hiatal Hernia*  Hiatal hernia hutokea pale ambapo sehemu ya juu ya tumbo inasukumwa kupitia tundu kwenye diaphragm hadi kwenye kifua. Hali hii hudhoofisha valve kati ya umio na tumbo (LES) na kuruhusu acid ya tumbo kupanda juu kirahisi. Wagonjwa hupata kiungulia cha mara kwa mara, maumivu ya kifua, au kushindwa kula vizuri. --- 2. *Gastroparesis*  Gastroparesis ni hali ambapo misuli ya tumbo inakuwa dhaifu au haifanyi kazi vizuri, na hivyo kuchelewesha usafirishaji wa chakula kutoka tumboni kwenda kwenye utumbo mdogo. Chakula kinapokaa tumboni muda mrefu, husababisha kuongezeka kwa presha tumboni na kuchangia kupanda kwa asidi kwenye umio. Wagonjwa hupata kiungulia, kichefuchefu, na kushiba haraka. --- 3. *Helicobacter pylori (H. pylori)*  Ni bakteria wanaoishi ndani ya utando wa tumbo na wanaweza kusababisha vidonda vya tumbo na gastritis. H. pylori huathiri uzalishaji wa asidi na usawa wa mazingira ya tumbo. Wakati mwingine husababisha tumbo kutoa asidi nyingi au kidogo kupita kiasi, hali ambayo inaweza kusababisha reflux, hasa kwa wale ambao utando wa tumbo tayari umeathirika. --- 4. *Liver disease (Magonjwa ya Ini)*  Magonjwa kama cirrhosis, fatty liver disease, au hepatitis huathiri kazi ya ini katika kutengeneza bile na kuchuja sumu. Uzalishaji wa bile unapopungua au kutokuwa wa kawaida, usagaji wa mafuta unakuwa dhaifu. Chakula kinapokaa tumboni kwa muda mrefu, huongeza uwezekano wa acid reflux. Pia, shinikizo katika mfumo wa vena (portal hypertension) linaweza kuongeza matatizo ya tumbo na umio. --- 5. *Scleroderma*  Scleroderma ni ugonjwa wa autoimmune unaoshambulia tishu laini za mwili, ikiwa ni pamoja na misuli ya umio. Misuli inapolegea au kuathiriwa, valve ya LES haifungi vizuri. Hii huruhusu asidi kupanda kutoka tumboni kwenda umioni kwa urahisi. Watu wenye scleroderma mara nyingi hupata reflux sugu pamoja na matatizo ya kumeza. --- 6. *Obstructive Sleep Apnea (OSA)*  OSA ni hali ya kupumua kwa shida wakati wa usingizi. Mabadiliko ya presha kwenye kifua na tumbo yanayotokea wakati wa apnea yanaweza kuruhusu asidi ya tumbo kupanda juu. Watu wengi wenye OSA hupata reflux usiku bila hata kujua, hali inayochochewa na msukumo wa presha hasi wakati wa kuvuta pumzi kwa nguvu usingizini. --- 7. *Zollinger-Ellison Syndrome (ZES)*  ZES ni hali adimu ambapo uvimbe hutoa homoni ya gastrin kwa wingi, na kusababisha uzalishaji wa asidi ya tumbo kupita kiasi. Kiasi hicho kikubwa cha asidi husababisha kiungulia kikali, vidonda vya tumbo, na acid reflux sugu. Wagonjwa wa ZES mara nyingi hawapati nafuu kwa dawa za kawaida za kuzuia asidi. *Kwa hiyo, acid reflux inaweza kuwa kiashiria cha hali kubwa zaidi ndani ya mwili, na kuelewa chanzo chake husaidia kupata tiba sahihi badala ya kuishia kutibu dalili tu.*  *THAMANI YAKO NI AFYA YAKO*  *DR BARIKI YESAYA*  0714492146  #kenyantiktok🇰🇪 #creatorsearchinsights #fypシ゚ #foryoupage #foryoupage❤️❤️ #delivery #digestivehealth #digestivehealth #ulcerativecolitis #fypviral #noreform

About