@amosimwijonge: NIMEGUNDUA (Spoken Word)#ulumbi #kenyantiktok🇰🇪 #swahilitiktok #trendingvideo #challenge

amosmwijonge
amosmwijonge
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 January 2026 03:11:20 GMT
648571
29705
255
4950

Music

Download

Comments

alexis.abraham4
Peniel Abraham🇧🇮💓 :
Dàah umenikumbusha mbali Sana Niriwahi kumepnda MTU. kila mara arikua ananiuridhia nimempendea nn nirikua nakoswa majibu Yani nirikua najikuta nampenda2 Bira sababu ila Bahati mbaya hakujari upendo wangu ndomana had sasa sijawahi kupenda tena
2026-01-24 04:59:54
52
emilyyusuph936
Emily Yusuph :
na ukimpenda mtu kisa kakupenda
2026-01-24 15:16:02
24
user6303363429247
Kadinalikatto :
Kila jambo lina sabb sasa iweje usielew linalokufanya umpende wakat mapenz yanaeleweka,
2026-01-24 11:24:38
12
sulesh911
sulesh :
nimependa ila mm nahisi nimeonewa huruma😳😳
2026-01-24 11:19:26
14
...lix37
@..lix :
kabisa kaka
2026-01-24 11:38:13
5
bbyg360
Georgia🧿 :
Fact❤
2026-01-24 10:26:56
28
thobias387
Thobias :
nakubali kaka
2026-01-24 11:08:50
6
mpekuzilang
@mpekuzi :
maana halisi ya mapenzi nafahamu Leo toka nizaliwe,,shukran sana mwalimu..mm n mkenya kazi yako yanivutia Kila uchao🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰
2026-01-24 06:27:49
14
111politegirl
content reality creator :
me npo kwenye huruma🤣🤣🤣
2026-01-25 13:53:35
6
isack.mahenge1
Isack Mahenge :
follow me follow back
2026-01-24 09:09:23
6
pichamali
Pichamali_media :
Mwalimu
2026-01-24 09:50:00
5
machumuwilliam23
machumu William :
long life bro 🙌
2026-01-24 09:12:50
8
mr.mechanic17
Mr Mechanic. :
Exactly
2026-01-24 09:47:54
6
bajomwe45
Bajomwe45 :
ww bado mtoto huelew mapenz kupenda mtu au kitu huja automatically na sio kwa sababu
2026-01-24 12:30:48
6
saraoscargadau
0768532696 :
sawa
2026-01-24 17:54:51
6
user4881146259519
mixh! Roma :
mbn kam me sijwah kupenda
2026-01-24 14:09:25
5
flossita_
flossita_ :
Tichaaaaaa
2026-01-24 07:30:52
7
deborahsichone651
madam :
true
2026-01-24 10:01:23
7
14emmanuel.s
emma :
100%
2026-01-24 10:53:40
5
issaalamin6
Issa Al amin :
naam
2026-01-24 19:41:10
5
marry.bebe
Marry Bebe💕 :
sio kila mtu anapena Kwa sababu unaweza ukampenda bila sababu ila njinsi unavomzoea ndio unaanza kuona vigezo vyako kweli ananifaa
2026-01-24 16:41:08
5
petrydah
petrida :
ushasema ukimpenda mtu means umempenda tayar
2026-01-24 12:30:54
8
labx.404
Lab X :
vipi ukimpenda kwa tabia zake??? je hio nayo ni kitu gani?? maana ukisema nimempenda bila chanzo basi huo upendo unaweza kuondoka bila kujua pia hayo sio mapenzi ila lazima kuwa na chanzo cha kumpenda
2026-01-24 14:28:47
6
tavine254
.Tavine :
okay thanks
2026-01-25 20:37:49
3
meshackmgao
M,O🙏 :
kabisa mkuu 🙏
2026-01-24 16:11:09
3
To see more videos from user @amosimwijonge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About