@jacobhoja: Dhahabu huyeyuka kwenye joto la takribani 1064°C. Uchafu kama shaba, chuma, silver unaweza hutenganishwa kwa kutumia: Flux (borax), hii huongeza usafi (purity) ya dhahabu. Kisha hubadilishwa umbo baada ya kuyeyushwa kuwa gold bars. #dhahabu #uchimbajimadini #goldminingtz #madini #eastafricabusiness

Jacob Hoja
Jacob Hoja
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 January 2026 05:31:18 GMT
5368
125
3
9

Music

Download

Comments

aniceth62
ᴋᴀʟɪᴍᴀ ᴊʀ💎💎 :
mkuu nipe mchongo
2026-01-25 01:30:40
0
arusha.supplement
Arusha supplements store💪🏾 :
Brother sorry mie nilikuwa naswali hapa , hivi katika ushauri wako juu ya baishara ya dhahabu , ni bora mtu ununue nakuuza dhahabu au kuchimbaa na kuuza , ipi boraa???🙏🙏
2026-01-25 06:11:35
0
To see more videos from user @jacobhoja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About