@uzazi_clinic_online: Haimaanishi kila kulicho mbele yako unaweza tumia tu kwa namna yoyote ndio maana hata dawa ukipewa hospital unaelekezwa namna sahihi ya kutumia bila kuzidisha kiasi chake. Basi ndivyo ilivyo hata katika matumizi ya vitu vya asili kuna kiasi sahihi cha kutumia ili kupata matokeo, Wewe unafahamu kiwango sahihi? Basi kama wewe ni mpenzi wa kutumia vitu asili kwa ajili ya kuboresha afya yako ya uzazi, uke na homoni ndio wakati sahihi kufollow page hii na hata kujiunga na madarasa ya kupata Miongozo sahihi juu ya tiba asili.#foryoupage💙 #tiktokviral #AfyaYaUzazi #LisheBora #100millionviews

@uzazi.health.education
@uzazi.health.education
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 January 2026 06:16:59 GMT
502
11
0
3

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @uzazi_clinic_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About