@denri_africatz: wako wapi mpaka maembe yanajaa kwenye mti😂😂🙌… Mwaka mpya umeanza, kazi imerudi rasmi 💼🔥 Kabla hujaanunua begi moja moja, tunakuletea combo za DENRI ambapo unajipatia mabegi mawili au zaidi ya leather halisi na unaokoa mpaka Tsh 80,000. Hii ndiyo njia ya kununua kwa akili, bila kupoteza hela wala muda. 👉 Wahi kuchagua combo yako kabla ofa haijaisha. 📍 Mreiny Complex, Sinza Kijiweni 🚚 Tunafanya delivery: +255 761 970 255 #DenriTz #foryoupage #backtowork #fyppppppppppppppppppppppp #fyp

Denri_AfricaTz
Denri_AfricaTz
Open In TikTok:
Region: FR
Saturday 24 January 2026 15:47:39 GMT
145503
8488
470
786

Music

Download

Comments

ocean27rider0
Ocean 🌊 :
sie tulikua tunakula ad maua
2026-01-25 06:32:21
407
bin_amr
Bin Amr! :
shida mwenye mwembe
2026-01-25 04:18:20
183
charlesmwambene
Charles :
Unabeba chumvi ya kutosha, huo mti unahitaji watoto watatu tu enzi zetu😁
2026-01-25 07:32:09
209
chinabu88
Chinabu🌸 :
Hayo majan tunatengeneza vipoch enzi hzo😂😂😂
2026-01-25 07:40:14
72
habibu_414
habibu_414 :
Wanapelekwa shule na gari saa moja wanarudshwa saa kumi na moja😂😂 wakifka wanachezea ipad zao wenyew😀😀😀
2026-01-25 04:29:14
133
quypenny
@quy🌸 :
vibiriti vmezagaa mitaan wakat zamam kupat kikaratas kimechorwa kasuku ni kama unamilik almas kha😂😂 imagine mtu unaogopeka mtaan kisa tu unamilik stika za kasuku ten ukiwa na ile ya kombora ndo kbs asee watt wa skuiz hawajui kucheza 😅😅
2026-01-25 15:03:48
20
fatehewrld
easymoneysniper :
Hawaokoti ata vyuma kwenda kupima 😂
2026-01-25 08:27:40
47
janethhassan77
Janeth Hassan :
😁😁me nilikuw na anzia vikoga...Nik toka hp nakohoa mpk natapika
2026-01-25 08:08:42
20
nadhirana245
Nadhira Na :
ukiona ivyo uwo mwembe mchungu pili mkali 😂😂😂😂
2026-01-25 02:48:26
9
amina.labia
Amina Labia :
Mpaka yamekomaaaa😂😂😂😂😂
2026-01-25 11:33:59
10
muhdkipande27
Almando :
unaiba chumvi nyumbni pakti nzima ukamimine kidgo unasahau kurudisha home
2026-01-24 23:02:14
9
godfrey.mwasa
Godfrey Mwasa :
maua tulikukuwa tunachuma tunasema hera
2026-01-25 07:16:56
8
suleimansaid696
Enzo_chemany29 :
watu skuiz washirikina sana embe tu linaweza kukuletea matatizo.😁
2026-01-25 14:04:50
5
omedytailor
omedy tailor :
najua nyuma ya camera umerudia utotoni 😅🙌
2026-01-25 11:19:03
8
trice9125
Trice😍😍 :
Sisi tulikuwa tunakula vikogwa
2026-01-25 10:44:00
3
joseonian
Joseonian :
😂😂😂 sema millenials mlikuwa na hekaheka
2026-01-25 18:10:03
4
qhalibianstudio
QHALIBIAN STUDIO :
watoto wanavyo kuangalia unaongelea maembe huku wanapiga chips
2026-01-25 08:27:06
10
nasatymeyraaj
Ñåãh🦋💫💕 :
Sisi tulikuwa tunafanya kukimbilia huo mwembe ulijuta 😅😅😅
2026-01-25 06:39:50
10
sunny_hj112
Sunny :
Wakishua
2026-01-25 05:04:30
2
ozachopesefabbian
Ozacho pese :
Yani wanajikutaa mabishoo sasa hivi mpaka kwenye chakula
2026-01-25 16:10:01
2
la.brujita19
La brujita :
wanaamka na kombolela sikuizi...sisi tulikua tunaonja hukohuko juu😂😂
2026-01-25 07:08:36
4
rahimu620
kachala :
hawajui hata kucheza kombolela
2026-01-25 13:18:38
3
azorindege
Ndege Jr. :
Sisi tulikuwa tunapanda na kisu tunaangusha kokwa tuuu 🤣🤣🤣
2026-01-25 06:56:10
3
ddavisonbagaile
“♛𝒟𝒶𝓋𝒾♛” :
Saiv wako bize na otoman sisi enzi hizo saa 6 unatoloka shule unaenda kucheza juu ya mimuembe had saa 8
2026-01-25 09:03:44
2
samirakhamis22
it's🦋sami🍒🔹 :
mim waga napanda na chumvi na kisu 😂😂
2026-01-25 13:55:39
2
To see more videos from user @denri_africatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About