@dr_nazar_: Tumbo linaumia sio kwa bahati mbaya — ni kwa kukosa ulinzi. Vyakula hivi husaidia kulinda kuta za tumbo, kupunguza acid, na kuipa nafasi ya kujirekebisha. Kula kwa maarifa, sio kwa mazoea. 👉 Anza kulilinda tumbo lako leo. #AfyaYaTumbo #ChakulaNiDawa #AcidReflux #LisheBora #drnazar