@mariestore_tz: Mahi zangu wale ambao hampendi pajama za mikono mirefu na hampendi zile za cam top hizi bottom up zipo kwaajili yenu na kila mtu😍 Hizi pajama ni nzuri sana nzuri mno kuanzia materials quality na muonekano wake zinavutia zaidi ya kwenye picha size zote zipo wanapata wembamba hadi wanene kabisa🌸 zipo hizi fupi zipo ndefu zipo pia za pc tatu unapata pajama pant pajama short na shirt yake ipo ya mikono mirefu na mikono mifupi 🎀 Karibuni sana babes tupo tayari kuwahudumia nawapenda🤝❤️#fyp #trend #viral #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya