@healthyfity1: Ukiona hivi, ujue unahitaji kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula 🚨 1. Choo kubadilika Choo kikawa kigumu au “kikomo” Kukaa kwa muda mrefu bila kupata choo Mavii ya mbuzi (choo kikavu na kidogo) 2. Tumbo kujaa + njaa/hamu ya kula inabadilika Unajisikia umejaa hata ukila kidogo (bloating) Unaweza kupata njaa ya haraka sana au ukakosa hamu kabisa Hii inatokea kwa sababu utumbo hauko sawa na mfumo wa chakula unachokula hauendani na unyonyaji wa virutubisho 3. Unapata usumbufu kooni Kutoa gesi au kuhisi kuungua/maumivu kooni mara kwa mara Hii inaweza kuwa dalili ya utumbo kukosa usawa au kuharibika kwa bakteria mzuri 4. Kuhisi uchovu wa mara kwa mara + maumivu mbalimbali (kichwa, miguu, nyonga) Unaweza kulala vizuri lakini bado unahisi uchovu Maumivu ya kichwa, miguu, au nyonga bila sababu ya wazi Hii inaweza kuwa dalili ya kutokupata virutubisho vya kutosha au usumbufu wa mmeng’enyo 5. Unapata maumivu ya tumbo, kuungua tumboni, vidonda vya tumbo au H. pylori Kuungua tumboni mara kwa mara Maumivu ya tumbo baada ya kula Vidonda vya tumbo (ulcer) au dalili zinazoweza kuonyesha H. pylori Wasiliana na healthyfit clinic kwa kurekebisha mfumo mzima wa chakula#acidraflux #DigestiveHealthSupport #foryoupage #sorethroat