@fugakuku: Tunadesign na tunajenga mabanda ya kuku ya kisasa wasiliana nasi namba zetu zipo kwenye bio #fugakuku

fugakuku 🐣
fugakuku 🐣
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 26 January 2026 17:26:25 GMT
21271
372
5
114

Music

Download

Comments

userswahili_decor47
userSwahili_Decor :
Hio banda inachukua idadi gani ya kuku?
2026-02-27 18:52:01
0
nungu51
Emma51 :
jamn tunaomba kujua bajeti zima ya banda
2026-01-31 05:31:51
0
aledebraezytz
Mr Alex :
Banda kama hilo linacost kias gani?
2026-01-26 21:44:33
0
user1183376144067
user1183376144067 :
vp kuhusu barid wakat wa asubuh haina shida kwa kuku kwa mfano niwa kienyej naomba kuelimishwa
2026-02-26 11:45:17
1
To see more videos from user @fugakuku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About