@ibraah.supplement: 🚭 Kuvuta sigara si fasheni, ni hatari kwa afya! Sigara husababisha magonjwa ya moyo, kansa ya mapafu, presha ya damu, kupungua kwa nguvu za kiume, na kuharibu mapafu taratibu. 🚫 Kila sigara unayovuta ni hatua moja karibu na maradhi. 👉 Chagua kuacha leo, chagua afya bora kwa maisha marefu. #Dribraah #MaishaBora #HealthyLife #NoSmoking #1kviews