@fainess_health_clinic: ❣️Faida za bilinganya kwa acid reflux 👉Ina mafuta kidogo sana Hii ni muhimu kwa sababu vyakula vyenye mafuta mengi huongeza acid tumboni na kuchochea reflux. 👉Ina nyuzinyuzi (fiber) Fiber husaidia mmeng’enyo wa chakula kuwa mzuri na hupunguza kukaa kwa chakula tumboni muda mrefu—hali inayoweza kusababisha reflux. 👉Husaidia kudhibiti uzito Uzito mkubwa huongeza shinikizo tumboni na kuchochea acid reflux. 👉Bilinganya ni chakula chepesi kinachosaidia kudhibiti uzito. 👉Haina asidi kali Kwa wengi, bilinganya si chakula chenye asidi nyingi, hivyo haiwashi koo au kifua kwa urahisi kama vyakula vya siki au nyanya 🌹 Nitafute kwa tiba na ushauri zaidi;;255;773;14;65;;60 #usa #canada #yourpage #tanzaniantiktok🇹🇿 #acidreflux