@swiiftiphonecenter: Wengi hawajui kuwa unaweza kufanya line yako ionekane OFFLINE 📵 lakini bado ukaendelea kutumia internet 📶 Hizi ni codes za mitandao Tanzania (Vodacom, Airtel, Tigo & Halotel) zinazokupa control ya privacy yako bila kuzima data. 👉 Video kamili iko hapa — linda muda wako, linda privacy yako 🔐 #SimTricksTZ #VodacomTZ #AirtelTZ #TigoTZ #HalotelTZ
mtu akukutafuta utaona sasa .? au ndo hutojua waliokutafuta.?
2026-01-28 09:29:59
11
jacklene Michael :
kaka naomba unisaidie mimi lain yangu haisomi kwenye sm yangu lakin ikipigiwa iko hewan lakin kwenye sm yangu haisomi kabisa naomba unisaidie please 🙏🙏🙏
2026-01-27 18:08:56
4
Happyblack :
Voda imekataa 🥺🥺🥺
2026-01-27 18:16:12
2
mjerumani :
Hata sms haiingii au
2026-02-23 09:26:53
1
gyuda vanny :
asa ukitaka upatikane tena unafanyaje
2026-01-28 05:38:09
8
Dalali Muaminifu :
ILI upatikane ufanyeje
2026-01-27 19:53:44
2
Bblackjay :
Umetisha mwamba
2026-01-28 12:32:26
2
Simon :
Dah bro nakukubali sana, Best IT
2026-01-27 20:10:56
2
2000 :
jinsi ya kudowload gta5
2026-01-27 18:32:53
0
Yahya Naka :
aisee tulipe madeni jaman
2026-01-29 22:41:33
3
maxima76 :
nakubali 🔥 🔥🔥
2026-01-29 14:52:45
1
Aggie💙🦋 :
Ahsanteee nilikuwa nasubili hii 😂😂😂😂 ahsanteee baba ngoja nijaribu
2026-04-01 10:33:03
2
F@us@l🥀❤️ :
follow me 🥰
2026-01-27 21:32:02
1
Teddy💫🦋🌹🌹 :
Asante sana kaka 🥰
2026-03-09 07:39:37
0
Simon :
unajuwa mpaka unajuwa tena 👏👏
2026-01-27 20:11:52
0
SautiYaMtaa_Dikison :
iyo noma
2026-04-06 20:21:30
1
Lujegi :
Nakwann ucpatikane
2026-01-28 05:47:19
0
Sam Cle :
*21*000#
2026-02-11 11:24:10
1
johari ibuma :
tuliyopo nje tutumie Kodi gani
2026-01-28 07:09:16
1
Justice :
Iyo codi ni kwamitandao yote..?
2026-01-28 11:51:31
1
fodeni boy :
najitoaje ili nipatikane
2026-02-02 18:45:24
4
MOMENT :
efootball gamers hii ni kali
2026-01-28 15:17:24
2
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm
homepage.