@mamasubmeter_tz: Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa 💡 Elimu sahihi = wateja wa kudumu. 📩 DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz

MamaSubmeter_Tz
MamaSubmeter_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 January 2026 03:43:23 GMT
8453
138
33
39

Music

Download

Comments

neema.mashauri.m5
neema mashauri (M5 JUICE) :
weka no ya simu
2026-02-01 06:11:03
0
dominick.mushi4
Dominick mushi :
Ni bei gani
2026-02-28 08:17:17
0
mlyukai
#nemela :
napataje na nani ananifungia
2026-01-28 10:34:57
1
momsabrahdesigner
mom Sabra designer :
bei gan
2026-01-28 04:47:09
0
msumbiji
msumbiji :
dada Nisha kuelewa nipe namba yako tuya jenge🥰
2026-03-03 07:44:50
0
bizzo130
Bizzo Boom :
Unaweza kutumia sub mita 1 kwa vumba 5?
2026-02-03 22:11:09
0
user4635337327108
Dolla nyingi tz :
Mimi naitaji Niko mbezi magufuli
2026-02-04 18:36:08
0
selembavu332
selembavu :
nafungiwa na nani
2026-02-09 05:23:37
0
leonshirima
Leon Shirima :
munausaje
2026-01-28 10:18:50
0
lakisaba3
[email protected] :
nyumba yetu Ina vyumba Tisa naweza kujitegemea Mimi mwenyewe
2026-02-02 21:58:57
0
felixswai357
Felix Swai :
gharama zake had kuanza kutumia ni kiasi gani
2026-02-05 05:09:13
0
sabrah.omari
Sabrah Omari :
mnaweza kutumia sub meter moja vyumba viwili
2026-01-30 21:41:22
0
felixmushi676
Felix Mushi :
bei
2026-01-28 21:04:04
0
agrepinaanton1
agrepinaanton :
na ufundi vip au ni hiyo sab tuu
2026-01-28 17:05:11
0
dominick.mushi4
Dominick mushi :
Na napataje uduma Nipo mbez mwisho
2026-02-28 08:17:37
0
sunganomarimsomali
Sungan Omari Imrani :
Kwaiyo ukitaka kuingiza umeme...unaanza kwnz kuingiza kwenye mita kuu..alafu ndio inafata kwenye sub mita
2026-01-28 12:39:13
0
user4672619014142
123 :
naweza funga peke yangu kwenye frem niliyopanga,naomba nisaidie hilo dada nimechoka na huu umeme siku mbili umeisha
2026-01-28 11:59:48
0
To see more videos from user @mamasubmeter_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About