Njoo kwa upole Yesu kwa mama yangu. Mtoe kwenye hofu na kukata tamaa halafu umponye ile Saratani. Anakuamin sana ila Kuna muda anaogopa kdg😢
2026-02-10 12:32:44
434
debbydelicious01 :
🙌🙌stak ndoto Uje mwenyewe 🤲
2026-02-02 17:56:07
104
Mwakamisa :
Mbona huu wimbo haupo kwenye YouTube channel yako?
2026-01-28 12:48:41
47
David Emanuely Kimaro :
my mama yuko amelazwa hospitalini and naamini through this song Mungu anaenda kumponya uje mwenyewe MUNGU katika hili usimame mtu baba yangu😭😭😭😭🙌
2026-02-01 00:45:13
78
P@mejog :
usitumie mafumbo Baba vinanichanganya ... 🤲😔 uje mwenyewe.. 🙌
2026-02-11 17:40:23
5
👑Sir.ⲏₐₙᴅₛₒₘₑ 𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃𝐒 👑 :
this song made me cry like baby man of God u provoked my spirit 🙏
2026-03-22 09:55:00
7
Anko_kim :
Powerful 🔥🔥🔥.. this is not just a song it’s a prayer , a cry in the wilderness.. it’s a direct call to the father a direct conversation one on one with God 🙌🏽🙌🏽🔥🔥… barikiwa sana mtu wa Mungu Bwana azidi kukutumia zaidi … 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-02-08 15:57:36
5
Favor___Tr :
Naomba uachie huu wimbo jmn na Mungu akubariki sana🙏
2026-02-12 14:20:12
10
Tee_Omalicha 🧸🌸🍂 :
Huu wimbo unanifanya nalia tu jamn 🥹😭😭😭
2026-02-26 21:14:42
13
😋😋...rXy :
huu wimbo umenipa tumaini jipya the moment I watched it 🙏
2026-01-29 05:01:50
27
@elly brand :
nachukia kuona wimbo mzuri kama huu bado hujatoka🔥🔥🔥
release it minister of god🙏
2026-02-05 19:36:27
6
Wema Mushi :
Eeh Mwenyezi Mungu ponya huu Moyo Baba bila wew mimi siwezi 😩🙌🙌
2026-02-12 16:08:18
16
Jackie :
Huu wimbo unaniliza kila ninapousikia, ni kama ulitunga kwa ajili yangu 🥲
2026-02-10 13:32:08
5
blessed_shooby :
Aaaah🥹🥹🥹 hv ndivyo huwa namwambia nikiwa na issue nzito na urgent🙌🏽 namwambia tu Baba hapa shuka mwenyewe usitume malaika🙌🏽 Na hajawahi niacha aiseee hajawahiiii🥹🥰🙏🏽