@daresalaam: Replying to @MUHAMAD S.A.W hii ni clip imeshootiwa 2021, ni hesabie kuna magorofa makubwa mangapi, kabla ya yote ghorofa kubwa inatakiwa iwe na floor ngapi, hiki ni kipinde kidogo tu baadae ntakufatuia clip ya 2026
mbona majengo marefu yapo mengi Dar?? tatizo wanayajua hayo ya city center tu, wasogee km5 watayaona mengine mengi tu, uzuri wa Dar ni kubwa kuliko Nairobi so mji ni mkubwa sana kwa drone pekee huwezi kuushot wote. utaishia Posta tu😂
2026-01-28 12:32:02
17
🇹🇿&🇰🇪 :
wapeleke na makumbusho bas
2026-01-28 09:44:56
21
privacy invader👹 :
Dar ni kijiji😂
2026-01-28 19:24:15
9
georgeodero4 :
Bado sana Nairobi baba lao
2026-01-28 10:35:23
8
DAVIS SHOP 🇹🇿 📊📉 :
kaongea ukwel
2026-01-28 09:43:12
6
UNIQUE~.BETTY :
uyo atakuwa amekuja mjini jana😂😂
2026-01-28 09:14:54
12
Freen Armstrong :
afadhali umeliona hilo pia
2026-01-29 13:21:29
1
Shedadi Abdul Muhamed :
Dar Ni kubwa yakusanye Pamoja yote Na Makumbusho
2026-01-28 10:08:35
13
Festo Zeno mc# :
nyuma sana
2026-01-30 14:25:58
0
Software Designs Hub :
Dar Haina CBD, he he nilienda huko nikakuwa disappointed nikarudi 254 kwetu the next day
2026-01-30 17:46:56
2
Sharon Mamake Vaddy :
mitungi tatu😅
2026-01-30 14:18:09
1
Idris :
Tanzania bado sanaaaa
2026-01-28 14:42:52
0
christopher andiah :
mbona ukarudia rudia magorafa mengine dar bado sanaaaa
2026-01-28 16:25:40
1
mehmetkhan96 :
kajenge na ww
2026-03-12 13:40:48
1
Jamal Jimal Kamal :
Dar ni village isn't a city😂😂😂🤣
2026-02-01 01:47:29
1
Singida one :
majengo marefu mengi sana sema posta ndo marefu zaidi kenya hamna kama haya
2026-01-29 18:00:03
1
prettyMeh🦋 :
Uko Nyuma na Nani?? eti wewe Nyuma which,where,with who😳
2026-02-12 09:31:21
0
starvalo 254🇰🇪🇰🇪 :
at least mkona daraja hatari
2026-01-30 20:04:28
1
fab.ismailally :
hata lingekua moja dar sihami
2026-01-29 03:51:15
3
youth from 255🔥🔥🔥 :
kuwa na majengo marefu cyoo maendeleo broo
2026-01-28 21:18:05
0
FGI-reed :
sasa hii kitu ndio wana compare na nairobi kitu weather inasema wako 1940's 😂😂😂😂
2026-01-28 18:25:34
0
It's MaX :
kama unaweza jenga lako tulione
2026-02-17 07:42:45
0
@sadamjuma8🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
tatizo atupendi kuambiwa ukweli 😁😁
2026-01-28 14:36:14
3
privacy invader👹 :
msiwahi linganisha iiizi mataka taka naona na Nairobi teena😂😂😂😂
2026-01-28 19:17:40
0
dennislaw94 :
Kati ya majengo 10 marefu Zaid east Africa Tano ni ya tanzania yakiwemo na hayo
2026-02-05 08:17:36
2
To see more videos from user @daresalaam, please go to the Tikwm
homepage.