@babakerenee: The Road Traffic Act Cap 168 2023 kifungu no. 30 (para 3) kushindwa kurenew leseni ndani ya miaka mitano huweza kupelekea leseni kufutwa kwa Leseni za Tanzania Bara. Zanzibar The Road Transport Act No .7/2003 Inasemea kuwa kwa kifungu no. 86 para (2) kwa miaka mitatu leseni ikiwa haijawarenew inaweza kufungiwa au kufutwa.
Remy Mkwaya
Region: TZ
Wednesday 28 January 2026 13:51:25 GMT
Music
Download
Comments
Bint Khamay :
mi nataka leseni ya zanzibar utaratibu ukoje
2026-01-30 19:01:34
0
The last kush :
boss kazi mm nataka D1 naomba contact yko inbox please nna shda sana na hlo
2026-02-21 11:45:18
0
N.kenzo :
bos nina maongez na wew
2026-02-07 18:21:19
1
polite :
Tech vp zile class B kavu bdo hawajaifunguwa
2026-01-31 15:30:12
0
Mr.ambasador :
je ikiwa askari kazuwia leseni yangu alafu akaipoteza je nini kinafanyika?
2026-01-29 06:03:20
0
Kisasi Imma :
Sawa mkuu
2026-01-28 15:20:21
0
iBrH%❤️❤️ :
Habr kiongoz
2026-02-12 01:38:23
0
Dhulkarnayni Khidhri :
bwana asifiwe chukua mwenyeo
salam kusem hujuw kwaiy 00
2026-03-12 10:54:01
0
SANA KASSIM :
Asante kiongozi
2026-01-28 16:25:28
1
user galax 77 :
Asante teacher
2026-02-25 09:41:53
1
TABASAM :
mbn yangu nimekata m5
2026-02-14 09:10:18
1
iBrH%❤️❤️ :
Lesen yngu ya honda imemaliz mwak 2021 sija renew sasa natk renew nalipia shngpi ilikupata mwak 2026
2026-02-12 16:12:21
1
ghalibmaalim :
je leseni ya gari znz unawez kutumia bara???
2026-02-13 12:17:59
0
salim :
😁
2026-02-13 06:50:19
0
iBrH%❤️❤️ :
Kwaiyo kulipia apo inakua shngpi
2026-02-12 17:26:11
0
khatib El-ibn rashid :
kma mm leseni yng imetoka 12/07/2023 na imemaliza muda wke 12/07/2025 mpka sasa sijairenew hv vp naomba kujua kiongozi
2026-02-06 08:50:55
0
user3074836090799 :
Sasa ww mkiristo Salam ya nn
2026-02-03 08:55:22
0
al_green3 :
tech sis w class C kavu vipi naon kimnya mpk leo izo lena hazijatok
2026-01-31 19:15:52
0
k9abdul :
leseni ya D1 saiv ni kias gn
2026-01-30 16:58:49
0
STREET ICON 26🏁 :
Sasa Kwa sisi ambao hatupo Zanzibar zaidi ya miaka mitatu na leseni isha expire tunafanyeje ?
2026-01-28 20:11:34
0
Faiy wa Brunei :
Je kama umekata miaka mitano je kwa zanzibar?
2026-01-28 18:30:27
0
To see more videos from user @babakerenee, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.