@kingayauke: -Huimarisha afya ya uzazi Husaidia kusafisha mfumo wa uzazi na kuboresha mzunguko wa damu kwenye mfuko wa uzazi. -Hupunguza maumivu ya hedhi Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo, mgongo na kukaza kwa misuli wakati wa siku za hedhi. -Husaidia kurekebisha homoni Hutumika kusaidia wanawake wenye changamoto za homoni kama kukosa hedhi au hedhi zisizo na mpangilio. -Huongeza hamu ya tendo la ndoa Huchochea mzunguko wa damu na kuongeza hisia za mapenzi -Hupunguza maambukizi ya uke Zina sifa za kuua bakteria na fangasi, hivyo kusaidia kupunguza harufu mbaya na miwasho. -Huimarisha kinga ya mwili Husaidia mwili kupambana na magonjwa na maambukizi ya mara kwa mara. -Husaidia mmeng’enyo wa chakula Hupunguza gesi tumboni, kichefuchefu na kujaa tumbo. -Hupunguza msongo wa mawazo na uchovu Husaidia mwili kujisikia mchangamfu na wenye nguvu. #uchafu #ukeni #fy #kingayauke