@honzechariahwakilimsomi: Vigezo, gharama na vitu muhimu vya kuzingatia ili kupata passport (hati ya kusafiria) #passport #visa #Immigration #Uhamiaji #Tanzania
Mimi Toka Mwaka Jana mwezi WA 11 mpaka Leo kila Siku nazungushwa hawana Hata Huruma uwongo mtu😭😭😭😡😡🤬🤬🤬inatia hasira Sana
2026-01-29 04:34:55
51
mywangu.777 :
Me yangu nilipataa siku tatu tu
2026-01-29 07:09:25
19
Neema Kessy🇹🇿 :
Ubabaifu sasa loooooooh
2026-01-29 07:31:18
5
ISMAEL :
Cheti cha kuzaliwa cha nini kwani amuamini Kama nilizaliwa au
2026-01-29 10:40:42
5
Agripina ligelele :
Dada acha uwongoo bila laki tano au zaidi utachina
2026-01-29 05:03:45
14
Babe_Angel ❤️ :
Kama huna mzazi hata mmoja jeee?
2026-01-29 00:49:17
15
Bintsaid :
Jaman omba mungu usiwe mtu wa mikoa inayokqribiaa nje ya nchi nyingine,yan kama kigomaa 😂😂😂😂 utajutaaaa
2026-01-29 12:37:16
11
pretty girl 👧 💗 :
mm passport nimepata ndan ya sik 6
2026-01-29 11:23:40
10
Capt. Georgia :
nyie waongo sana naenda kumaliza miezi 6 sasa na nimeishalipia kila kitu lakin kila nikienda naambiwa bado mfumo unasumbua , yaaan hii Nchi ngumu sana lakini , ipo siku yataisha hata kama hatutakuwepo wengine ni suala la muda tu
2026-01-29 12:09:56
10
African King :
Kwan hamuamin kama nimezaliwa
2026-01-29 07:49:29
5
juma :
da uku tanzania sheria kali bn
2026-06-20 14:02:55
0
zaylee :
Yan kama ujui kitu unaweza kumuamin 😂😂😂ila kwa sis waanga ND tunaelewana bila lak 5 Au 4 jmb alija kaminika unaweza zunguka miaka 10 na usipate🤣🤣
2026-01-29 06:59:06
9
Waje Tena :
mimi kama nina nida pia mzazi anacho cha nida vipi hapo
2026-06-11 18:16:29
1
Director 🇺🇸 :
me,nasubili yangu ila chamoto nimekipata mmmmmmh, nimetumia zaidi ya 300k
🙄
2026-01-29 07:47:53
6
𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐬𝟒𝐇 :
Mimi nliambiwa material ya kutengenezea passport yameisha hadi leo toka mwaka jana😳
2026-01-29 18:46:45
6
Richard Chilundulu :
kwa usumbufu hao😂😂 mimi jiran yangu mpakajuz karud analia😂
2026-01-29 04:50:29
10
Makemu57 :
ukienda wanavyojishaua sasa
2026-01-29 05:58:23
5
maprosoo :
wazizi wamekufa inakuaje
2026-03-07 13:10:34
0
jojo🌟🌌 :
me nimepata jana tu🥰
2026-02-24 16:32:20
1
mama vero mahanjumati🍮🥣🥣 :
na kama unaitaji passport ya mina mfupi sh ngapi
2026-01-29 17:06:26
0
Genesis :
kama wazazi waliishafariki na sina yeti vyao vya kuzaliwa?
2026-01-29 18:34:37
0
Mariam_Kaunga :
nikitaka passport ya mtoto je?
2026-01-29 17:23:37
0
MAHER :
mekamilisha kila k2 ani niliomba naenda kenya kifamilia mpka leo hawajanipa passport ety wanataka uthibitisho wannapokwenda hii ni haki kwel
2026-07-15 12:29:52
0
kidada60 :
ya kwangu imepotea natakiwa nifanyaje msaada tafadhali
2026-03-19 19:06:40
0
To see more videos from user @honzechariahwakilimsomi, please go to the Tikwm
homepage.