@dr.kalobo: Kunywa maji ya uvuguvugu kila siku asubuhi kuna faida nyingi, hasa kwa watu wenye shida za mmeng’enyo wa chakula, acid reflux, gesi na tumbo kama ulivyokuwa ukiuliza mara nyingi. ✅ Faida zake: 👌Husaidia mmeng’enyo wa chakula Huchochea utumbo kuanza kufanya kazi vizuri na kusaidia chakula kumeng’enywa kwa urahisi. 👌Hupunguza acid reflux & kiungulia Maji ya uvuguvugu husaidia kushusha ukali wa acid tumboni na kutuliza koo na kifua. 👌Husaidia choo kutoka kwa urahisi Ni msaada mkubwa kwa watu wenye choo kigumu (constipation). 👌Husafisha tumbo na mfumo wa mwili Husaidia kuondoa taka (toxins) mwilini na kufanya mwili uwe mwepesi. 👌Hupunguza gesi na tumbo kujaa hewa 👌Husaidia utumbo kupumzika na kuondoa hewa iliyojikusanya. 👌Huamsha mwili asubuhi Husaidia mzunguko wa damu na kukupa nguvu ya kuanza siku. 👌Hulainisha koo Kwa mtu mwenye shida za koo, acid reflux au ukavu wa koo, ni msaada sana.#southafrica #congo #omani#saudiarabia #usa