@cute_mimuh4: 🔎 PID ni nini? Ni maambukizi kwenye via vya uzazi vya ndani vya mwanamke (mfano kizazi, mirija ya uzazi, na ovari). Mara nyingi husababishwa na maambukizi ya gonorrhea au chlamydia ambayo hayakutibiwa. Sababu kuu za PID 👇 ✅ Magonjwa ya zinaa hasa chlamydia na gonorrhea ✅ Kuchelewa kutibiwa UTI au maambukizi ya uke ✅ Ngono bila kinga mara kwa mara Dalili za PID 👇 ⚠️ Maumivu ya tumbo la chini ⚠️ Uke kutoa uchafu wenye harufu mbaya ⚠️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa ⚠️ Homa na uchovu ⚠️ Maumivu wakati wa kukojoa Madhara ya kutopata matibabu 👇 🚨 Kushindwa kushika ujauzito (infertility) 🚨 Ujauzito nje ya mfuko wa uzazi (ectopic pregnancy) 🚨 Maumivu ya muda mrefu ya nyonga 🚨 Mirija ya uzazi kuziba Note: chukua hatua Leo ili uokoe afya yako#usa🇺🇸 #fyp #healthy #goviral #canada_life🇨🇦 #mario