@iroc.tv: Hii ni kweli? Inatakiwa kila baada ya dakika moja umwambie Nakupenda? 🤩 Bonyeza link kwenye Bio kuangalia kipindi youtube iRoc Networks 📺 @joellwaga , @ngelikah & @charles_matukio Cc @iroc.tv @nmbtanzania 📍 @irental_s #BeMore #Thejunction#NmbKaribuYako#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪
iRoc Network
Region: TZ
Saturday 31 January 2026 10:05:27 GMT
Music
Download
Comments
Phinah🦋🌸🫧 :
Mungu niliomba Kama Huyu😩😭Umenipa. Kitu Gan Kile
2026-02-01 14:01:39
173
Zayn Cosmetics✨🤍 :
Ee mungu baba kama huyu🥹😂
2026-02-01 00:17:40
62
Halima James :
mi nilimpata ila hatoi pesa kazi yake kusema nakupenda
2026-02-20 10:18:42
34
miss-rayaa🧸🌸 :
Naona Aibu mimi😂😂😂😂
2026-01-31 12:05:40
12
K❤️🥰 :
mungu Bado namsubiri kama huyu🥰
2026-02-02 07:28:26
8
saida-masanja :
kajua kuongea ukweli 😅😅
2026-01-31 21:38:28
14
Liababy...🫠 :
Ewaaaaaa
2026-01-31 13:26:00
5
rest :
Mm nilimuuliza hvi unanipenda kweli,nikajibiwa unataka nisikupende 😂
2026-02-02 04:39:18
20
fely :
2026-02-01 12:48:18
19
Jenipher Noel :
10/10
2026-02-02 18:02:12
7
DAUGHTER OF GOD 💞 :
mi nilimuambia hunipend akanitumia sms barua mpaka sasa sina hamu na upendo umeshuka
2026-02-01 10:30:47
7
aries ♈ :
Fact
2026-02-01 17:20:55
4
Ester Mgalla :
ila lwaga ni kama unaniongelea mimi oyooooo😂
2026-01-31 18:52:58
14
pinkish ☺️ :
absolutely 💯
2026-02-01 08:45:56
4
jackline.jackson23 :
Jamani nilijiuliza kwanini ninapenda nyimbo zake 💯💯💯💯💯💯💯
2026-02-01 12:04:16
7
raphaelamsola :
Mimi nikiuliza unanipenda najibiwa ningekuwa nawewe hapa kama sikupendi
2026-02-04 02:09:44
8
sweet_niyce :
nina miezi mitat mpka sasa I'm single 🤣🤣🤣🤣
2026-03-24 04:42:38
2
It’s—-siah🎀 :
Ewaaaaa
2026-02-02 12:54:09
2
Angel 1lastborn🥰 :
kunywa Pepsi sasa Tena barid😂
2026-02-01 19:51:18
3
👑MULUH HAMDY💞 :
10/10
2026-02-02 11:19:21
0
Jackline Sil. :
Maskini mimi
2026-02-01 12:04:58
2
Ammy Nafaka🌾 :
Kheee kumbe mimi toka niambiwe nimesahau lini 😂😂😂
2026-02-01 17:13:42
3
K cuty💞 :
Hapa huwez kuona mwanaume anakoment utafikir hawajaona
2026-02-03 21:12:59
3
Tatiana :
Facts
2026-02-03 08:32:36
2
cechiano3 :
Mtumushi yuko vizur 🥰😂
2026-02-01 09:22:23
2
To see more videos from user @iroc.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.