napend kuwa na mimba ila me bado mdog ndo kwanza miaka 19 saiv 2007 naogop daah😔😔😔
2026-02-12 10:02:19
30
shamim omary :
jmn nami mwez wa nne inshaallah najifungua
2026-02-05 13:58:06
32
madam G beauty💄 :
hivi mimba za sikuhizi ule mstari mweusi wa katikati huwa hautokei kama Mimba za zamani?
2026-02-04 21:08:32
18
Shey :
🥰 ongera kipenz
2026-04-10 21:37:12
0
maryam💞🫂💫 :
mashaallah one day inshallah 🥰🥰🥰
2026-03-12 15:37:49
1
💕💫BABE DRAMAH❤ :
soft ad raha lazma mtoto atoke mzur🥰🥰🥰
2026-02-11 18:28:19
4
young lina :
jamani kipenz chang mung azidi kuwarinda vipenz
2026-02-27 17:00:28
2
Irene Yusuph :
mungu nione namim man sina ata wadaw
2026-03-10 07:20:43
1
fetty tz :
Allah anibariki na me mimba yang ikuwe salama
2026-03-23 17:44:25
2
miss G :
ujifungue salama kipenzi🥰🙏
2026-03-15 08:06:37
0
Aisha babe64 :
love you my sister
2026-02-23 09:15:52
1
cuty baby🥰🦋 :
hata nisipoposit uku but nikisikia mwanangu anacheza nashukulumungu mungu nisaidie
2026-04-22 08:56:17
1
its_ mimah15 :
ntaman na mm sema naogopa😔😔😔
2026-04-01 21:21:33
1
nasrannasra5 :
mungu akurinde ujifungue salama
2026-02-05 19:06:15
5
Tanga-girl 🍫 :
ka baby girl hako jomon Mungu mlinde 🥰❤️😘
2026-03-12 16:18:01
0
Moh'd Okello :
Oooow 😊
2026-02-16 17:55:41
2
Asmacollection :
mashaallah wakat nilipokua kweny situation kam hii nilijion mwenye bahat sana na nilikua napend vile alikua mtundu wa mateke allah akujaalie ujifungue salam na akujaalie afya njma🥰
2026-02-19 20:28:42
1
Lexie caman :
kwanza mimba za siku hizi zinajitokeza kujulikana kutoka miezi tatu ama nne late 🙄
2026-02-15 13:46:19
3
Irene love 💕💕 :
hongera kipenzi utambeba 2 mungu yuko pamoja na ww
2026-02-08 13:46:21
3
ley chada :
ongera dada🥰🥰🥰
2026-02-07 05:03:11
2
Gemini ♊♊ og :
Mungu akujalie furaha Yako itimir
2026-02-14 07:13:38
4
It's--happie🎀💗✨ :
ukorofi tu unamchokoza ili akubutue☺️ashajua unamrecord😂😂😂
2026-02-13 13:48:24
3
Tinaah💫💦 :
honger mungu akusamamie bby girl🥰🥰🥰
2026-03-31 18:59:13
1
Babe ree💙🌹_🦋🥰 :
10/10
2026-02-13 17:09:32
1
To see more videos from user @mrs.recho.og3, please go to the Tikwm
homepage.