@finley.luckywing: Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni. Utupe leo riziki yetu ya kila siku. Utusamehe makosa yetu, Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea. Usitutie katika majaribu, Lakini utuokoe na yule mwovu. Kwa maana ufalme ni wako, Na nguvu, na utukufu, Hata milele. Amina. 🙏