@wajanjaforum: Mchepuko ni KIVULI... Giza likiingia, Anapotea! 🌒💔 Hivi unajua kwanini mchepuko anaitwa "Kivuli"? Kwasababu anaonekana tu wakati Jua la pesa na starehe linawaka. Lakini giza la umaskini au ugonjwa likiingia... Kivuli hupotea. 💨 Usibomoe nyumba uliyoijenga kwa miaka 10, kisa hema la muda la kupigia picha. Atayekufuta kinyesi ukiugua ni yule uliyemchoka nyumbani, sio huyo anayekupa "Amani" ya bandia. Usiitupe Dhahabu ukokote Mawe. 🏠❤️ Tag mtu unayemthamini, mwambie "Asante kwa kuwa mwamba wangu". 👇 . . #MarriageGoals #Faithfulness #WajanjaForum #Ushauri #Ndoa #Kivuli #Tanzania #RelationshipAdvice