@dogoj77: Service ya gari ndio muhimili muhimu kwa ajili ya kuhakikisha engine na gear box ya gari yako inafanya kazi inavyotakiwa. @dogo_j_auto_garage tunafanya service za gari aina zote kwa kutumia oil genuine na kufuatilia aina ya oil kutokana na mahitaji ya gari yako... Tuna oil number; 0w20, 5w30, 5w40,15w40,20w40,sae 40,85w140 na nyingine nyingiiii... karibuni sana na tunatoa Elimu bure kabisa.

Dogo j auto garage
Dogo j auto garage
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 February 2026 08:53:41 GMT
4819
89
2
1

Music

Download

Comments

malume.spare.part
Solution 🚜 :
Jojingo vip bmw 3 siries inaweza vaa ingine gan ya toyota
2026-09-10 05:46:51
1
agnes.bujiku1
Elia Dogo 🌹🌹🌹🌹🙏🙏 :
Yes yes 👍👍👍
2026-09-30 07:32:06
0
To see more videos from user @dogoj77, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About