@ibraah.supplement: Acid Reflux si kiungulia cha kawaida ⚠️ Inaweza kusababisha maumivu ya kifua, koo kuwaka moto, kikohozi cha mara kwa mara, gesi tumboni, usingizi kukatika na hata kuharibu mfumo wa mmeng’enyo 😣 Usipoitibu mapema, inaweza kuathiri afya yako kwa muda mrefu. Chukua hatua leo, afya ni mtaji 💪 #chimbolamaarifanataalifa #AcidReflux #Kiungulia #1kviews #tanzania🇹🇿