@zulkifumtondo: Shule haikupi ujuzi halisi wa maisha ya mtaani. Elimu ya kiafrika inatengeneza vijana kuwa maandazi. Hiki ni chanzo kikubwa cha umasikini, vijana wavivu, wasiowajibika, wenye ndoto zisizokuwa na malengo na wasiokuwa wazalendo. Hivyo usizegemee sana elimu ya darasani. Anza leo kujifunza ujuzi mpya wa maisha ya kitaa. #mwalimuwavijana #successmindset #successmotivation #motivation

Zulkifu Mtondo
Zulkifu Mtondo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 February 2026 15:41:21 GMT
3943
119
4
6

Music

Download

Comments

muddyfesto816
Muddy Festo :
huyu jamaa akiri mengi🫡
2026-02-01 19:38:30
1
user12888707374863
HMG big brother mtoto wa Elius :
uwakika broo
2026-02-02 07:31:05
1
yonas.michelle
Yonas Michelle :
Fact
2026-02-01 21:08:02
1
user4763921261141
thabitkalmin :
oya kwa viraza hawawezii elewa hata uwe na D3 bado
2026-02-15 18:59:28
1
To see more videos from user @zulkifumtondo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About