ndo maana hela yangu ngumu kumpa mwanamke kwa kweli
2026-02-05 00:42:42
68
mrs🌸sabreezy🦋💍 :
niliambiwa wew ni mwanamke mzuri sana lakn siwez kuendelea na ww😂😂😂💔
2026-02-03 06:44:11
43
Amyna Juma :
emu sam anicheki inbox kumbe hana kasoro 😂
2026-02-02 05:48:27
15
𝐀𝐁𝐃𝐔_𝐉𝐀𝐘✰ :
Dah! mpaka najikuta kuumia kuna mwanamke nampenda sana na nishatuma maombi yangu kwake had kwa wazaz wake lakin bd amekaa kimya hajajibu chochote.
Machon anaonekana anatabasam ila sjui moyo wake unanichukuliaje, kila nikimuuliza mbona hunipi jibu ananiambia ntakupa leo na bado hanipi jbu sahh ili nijue ni vipi pendo langu kalipokea.🥰
naogopa one day kupewa jibu kama hilo .
ila tambua nakupenda sana maryam😔
2026-02-26 10:20:17
7
Mtunz Wa Cmlz :
hii sms ata kwenye cm yangu ipo bado sijaifuta ila Mapenzi 😳
2026-02-24 11:15:32
27
mamy naah :
afadhali sam umeambiw ukweli Kuna mm sas 🥹🥹😭😭
2026-02-04 12:17:41
9
official swai :
iiii post Kila nikiiyona moyo wangu unashtuka sijui NAMI ntaachwa kama mwanba
2026-02-03 14:06:58
10
nauza na kutengeneza furniture :
2026-02-04 20:59:37
2
CAPTAIN 🦺🚬 :
apo navuta bange za buku jero mziki mkubwa 🦺🚬
2026-02-19 16:11:43
9
kessy haule :
Sawa ila kunautofauti Kati ya uyo na ww ila ucjiali njoo 2fanye yamwisho
2026-02-02 04:24:56
4
NCHOJI Electronic :
Mwaka juzi imenitokea😥😥😥Hawqndo wanawake jmn nilitaka kunywa sum mwenzenu. aliolewa namwingine na kwass nasikia amezaa kichanga japo alitoa kijiti kwajiriyangu dah? jesca😭😭😭😭😭😭😭
2026-02-04 19:07:04
6
minnah bebyy :
mm naona vizuri kasema ukeli wake tu jmani kuliko kusema uongo tu😭😭😭
2026-02-02 09:12:00
2
El-phenomenal_77 :
always ndo wanavosemaga like utapata mwengine atakae kupenda zaid yng but why 🥺🥺