@maridadifarm0: Funza wa inzi chumaa wakiwa wandaliwa kuja kutumika kulishia kuku..... Funza wa inzi chumaa ni Moja ya cheap protein source ambayo mfugaji anaweza akatengenezaa mwenyew nyumbani hivyo kumsaidia kupunguzaa gharama ya Chakula..Kwa sababu gharama kubwaa ya vyakula vya mifugo kwenye kutengenezaji inamezwaa na ingredients za protein ili Chakula kiwe boraaa... Hivyo ni vyema mfugaji kutambua namna nzuri ya kuweza kupunguzaa gharama hio Kwa kutengeneza vyanzo vya protein kama funza wa inzii chuma pamoja na azolla.. Follow @maridadi_farm 0742825353

Maridadi farm Tz
Maridadi farm Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 01 February 2026 20:00:03 GMT
11228
68
4
10

Music

Download

Comments

miry1756
Miry :
unatengenezaje 🙏🙏
2026-07-22 11:16:23
0
emmyjohn1670
emmyjohn1670 :
sijaelewa hiyo nn
2026-08-05 18:04:03
0
ba.nahmani
kajungu mwana kagosweee :
unatengenezaje ndugu yangu
2026-03-05 10:17:09
0
To see more videos from user @maridadifarm0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About