@drwilliam2.0: Aina za ute wa uke na maana yake — ipi ni hatari? 🔹 Ute mweupe au wa uwazi (kama yai) → Huu ni wa kawaida → Huonyesha mwili uko sawa na yupo karibu na ovulation ✅ Sio hatari 🔹 Ute mweupe mzito kama mtindi → Huashiria fangasi → Mara nyingi huambatana na muwasho ⚠️ Unahitaji tiba 🔹 Ute wa njano au kijani → Dalili ya maambukizi ya bakteria au magonjwa ya zinaa → Huwa na harufu mbaya 🚨 HATARI – usipuuze 🔹 Ute wa kijivu wenye harufu ya samaki → Bacterial Vaginosis → Huonyesha usawa wa uke umeharibika ⚠️ Hatari ukichelewa kutibiwa 🔹 Ute wa kahawia au wenye damu (nje ya siku za hedhi) → Dalili ya tatizo la ndani (mfuko wa uzazi, homoni au vidonda) 🚨 HATARI SANA – pima mapema 🔹 Ute wenye harufu kali isiyo ya kawaida → Sumu mwilini + maambukizi ya muda mrefu ⚠️ Chanzo lazima kitibiwe, sio kuficha dalili #USA🇺🇸 #USA🇺🇸 #USA🇺🇸 #USA🇺🇸 #USA🇺🇸

drwilliam2.0
drwilliam2.0
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 February 2026 04:00:54 GMT
21218
103
9
11

Music

Download

Comments

darkie._aura1
serah Bwari :
mm naona mweupe kama maziwa
2026-09-10 07:51:38
1
aminakev
AMINA MS KEV💞 :
unaweza kunisaidia namba ako
2026-04-30 23:27:16
0
aminakev
AMINA MS KEV💞 :
sasa mm ni mzito na unatoa harufu
2026-04-30 22:17:15
1
halima.martin
patrícia martin :
Nikajua uwo mweupe ni ugonjwa🥺🙆‍♀️
2026-02-02 15:20:01
2
To see more videos from user @drwilliam2.0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About