@fettyenny__: Nimepitia safari ya biashara, nimejifunza mengi, sasa nataka nikushike mkono nawe uanze😊 Kuanzia sasa nitakuwa nafundisha watu jinsi ya kufanya biashara kwa njia rahisi na ya vitendo. Usibaki nyuma nitafute leo uanze safari yako ya mafanikio. +255 620 629 046 #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage #Vlog #2026
Fettyenny_
Region: TZ
Monday 02 February 2026 09:40:06 GMT
Music
Download
Comments
Nii :
ww ni mpambanaji sana nakupenda bure i wish to be one day
2026-02-07 23:36:56
1
my twin❤️ :
mbona ujaombàa
2026-02-08 15:06:59
1
tiva26 :
natam kuwa mfany biashara kam wew dad Ang
2026-02-02 12:44:52
1
Hilda Store :
nataka kujifunza
2026-02-05 06:24:29
1
chikuharoun🧕 :
bei gani moja
2026-02-04 19:36:06
1
it's ryne🥰❣️ :
Mungu akubariki🥰
2026-02-07 17:39:13
1
@Fine..🌏💙 :
nataka kujuifunza dada
2026-02-02 11:27:24
2
M-african kid🕊️ :
Naomba nifundishe
2026-02-17 09:09:42
1
SWAI BOUTIQUE :
nataka kujifunza
2026-02-02 11:24:11
1
sophiy :
kwani wewe upo dodoma
2026-02-02 13:28:14
1
God is able🙏💕 :
naomb nifundishe
2026-02-05 13:01:40
1
g baby💫💦❤️ :
bei gan mashuka
2026-02-02 14:41:48
1
𝓜𝓲𝓼𝓼_𝓐𝓷𝓷𝓮𝓻 :
Shuka zinaukubwa gan?
2026-02-04 17:05:11
2
momy g🌹🌹🌹 :
naomi wa tufani au nakufananisha
2026-02-02 18:37:13
1
mcandrew_events :
Safi
2026-02-02 13:59:07
1
Bitte kalunga01 :
mbona unaharibu kiloba jamaniiii 😅c ufungue kwa juu🤣
2026-02-03 17:45:59
1
Saidah Omary :
naomba nsaidie nijue na mm
2026-02-10 18:18:14
1
G cute :
binti mpambanaji ❤❤❤
2026-02-10 08:48:38
1
REDMAMA COMEDY😂 :
kwaiyo uja ni miss🥺
2026-02-08 12:05:24
1
Mariamu :
matapeli wengi
2026-02-09 15:58:04
1
unconditionallove@♥️ :
Hvi hiyo ambayo huwa wasema 90k huwa ziko ngapi kwa ujumla dear
2026-02-04 07:38:41
1
Claudia Coco :
D’à fety vip unauzaje jumla ??
2026-02-02 10:52:26
1
Martha 321 :
naomba unifundishe
2026-02-21 10:05:06
0
Survivor :
samahan hayo ni mashuka?
2026-02-15 10:03:09
0
ur gem❤️💎 :
sasa kma na mtaji kidgo pia inawezekana??
2026-03-25 07:49:23
0
To see more videos from user @fettyenny__, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.