@fiisabiilillah: "Kuwasaidia wake zetu kazi za nyumbani pindi wanapoumwa si udhaifu, bali ni kufuata Sunnah ya kipenzi chetu Mtume (SAW) na ni ishara ya mapenzi ya kweli. #NdoaYakiislamu #MapenziYahalali #SunnahZamtume #MawaaidhaYandoa #WaislamuTanzania